Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa.

IPI NI FAIDA YA VIWANDA VIDOGO

LABOUR INTENSIVE
🔹Hapa tunamaanisha, katika ufanyaji wa kazi ndani ya viwanda hivi idadi ya Watu ni kubwa kuliko idadi ya mashine, Pakistani katika research nyingi inaonekana 80 asilimia ya kiwanda watu ndio hufanya kazi, Hii inasaidia kupunguza idadi ya watu wasiokua na ajira, Pia inasaidia kujiajiri sababu mtu anapokua akifanya kazi yeye mwenyewe anajua nini kinafanyika ili kuzalisha bidhaa.

GAINFULL EMPLOYMENT TO WOMEN
🔹Ujue katika nchi za Pakistan na india mwanamke au watoto wadogo hawaruhusuwi kabisa kufanya kazi nje ya nyumbani, lakini ukiangalia videos nyingi za huko kwao utaona watoto na Wanawake, Hii ni kwa sababu wanafanya kazi nyumbani, kiwanda kinapatikana nyumbani, Hii inaongeza active labour-force. Pia Wanawake wamekua waanzilishi wa viwandaa vingi vya kuunda Makapeti na mishumaa.

RE-USE OF LARGE SCALE INDUSTRIES WASTE
🔹Mara nyingi viwanda vidogo hutumia hata mabaki ya viwanda vikubwa kutengeneza bidhaa, mfano viwanda vya sukari vikubwa India baada ya kukamua miwa, yale mabaki huchukuliwa na wamiliki wa viwanda vidogo kwenda kutengeneza spirit (Vilevi).

MEET THE DEMANDS OF LOCAL MARKET
🔹Kwa Pakistani pekee na India ni ngumu sana kuzalisha vitu vyako vikauzwe huko, Imagine mpaka vijijini watu wanaunda Feni na cherehani je Mjini watakua wakiunda nini? Kiufupi jamaa wanaokoa nchi yao katika foreign exchange maana pesa nyingi wana spent palepale na si kuinports.

FOREGN INCOME EXCHANGE
🔹Kwa research kadhaa inaonekana bidhaa kama Rugs, Carpets, Brassware nakadhalika zinasosafirishwa duniani, basi asilimia 30 hutoka Pakistan na india, hii ni kwa mujibu wa “export receipts”

REDUCES RULAL - URBAN MIGRATION
🔹Kama kijijini kuna Kazi, then bidhaa zinapatikana kwa urahisi, Ni nani atatoka Kijijini kwenda mjini asijue anaenda kufanya nini, ndio maana kuna point huitwa “disparity in income” yaani maeneo mengi ya vijijini yatakua na center zilizoendelea, maana watu watakua wengi, na huduma zitapatikana.

🔹Mwaka 2020 Serikali ya India kupitia Ministry of Statistics and Programme Implementation ilitoa matokeo ya research yao ambayo ilionyesha;

🔹Katika unit 100% za viwanda kiujumla vinavypatikana India, Basi Unit 95 ni viwanda vidogo wanvyoviita (SSI)
Pia waligundua kuwa vimeajiri jumla ya watu 175 lakh (Watu milioni 17,500,000)
Viwanda Vidogo ndani ya India vinachangia jumla ya asilimia 30% ya GDP, Huku vikichangia 33.4% ya bidhaa zinazozalishwa India kiufupi kwa sasa wanaviita “backbone of the Indian economy”

CP: ElimikaWikiendi na Mdemu Polycarp
 
Naambiwa hapa kwetu viongozi wote wanachaguliwa na mkuu wa nchi hapo tunapata watu ambao hawana creativity, hawa ni watu ambao hawajui nini wanaweza kufanya ili kuibadilisha Tanganyika yetu.
 
Nakubaliana na wewe nilikua naangalia clip moja wanakijiji huko nepal wanatengeneza nyuzi ..vikoi na mashuka ..kwa kiwanda local kwa style unayosema mleta mada
 
Jiwe alikuja na sera ya Tanzania ya viwanda mkamuita dictator na majina mabaya mabaya mengi mpaka mkamuua.

Mwingine akasema hata cherehani nacho ni kiwanda, mkamzomea.

Muda mwingine watanzania wanakuwaga kama madem, hawajui wanachokitaka.
 
Sure mwamba alikuwa on the way, mimi nilimuelewa sana shida kubwa ni aina ya binadamu sisi ngozi nyeusi.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Wapakistan wametupita mbali sana, ni vyema tukajifunze kwao na si kuzurura kuleta wawekezaji ambao miaka nenda miaka rudi tutabaki kuwa tegemezi.
 
Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa.

IPI NI FAIDA YA VIWANDA VIDOGO

LABOUR INTENSIVE
🔹Hapa tunamaanisha, katika ufanyaji wa kazi ndani ya viwanda hivi idadi ya Watu ni kubwa kuliko idadi ya mashine, Pakistani katika research nyingi inaonekana 80 asilimia ya kiwanda watu ndio hufanya kazi, Hii inasaidia kupunguza idadi ya watu wasiokua na ajira, Pia inasaidia kujiajiri sababu mtu anapokua akifanya kazi yeye mwenyewe anajua nini kinafanyika ili kuzalisha bidhaa.

GAINFULL EMPLOYMENT TO WOMEN
🔹Ujue katika nchi za Pakistan na india mwanamke au watoto wadogo hawaruhusuwi kabisa kufanya kazi nje ya nyumbani, lakini ukiangalia videos nyingi za huko kwao utaona watoto na Wanawake, Hii ni kwa sababu wanafanya kazi nyumbani, kiwanda kinapatikana nyumbani, Hii inaongeza active labour-force. Pia Wanawake wamekua waanzilishi wa viwandaa vingi vya kuunda Makapeti na mishumaa.

RE-USE OF LARGE SCALE INDUSTRIES WASTE
🔹Mara nyingi viwanda vidogo hutumia hata mabaki ya viwanda vikubwa kutengeneza bidhaa, mfano viwanda vya sukari vikubwa India baada ya kukamua miwa, yale mabaki huchukuliwa na wamiliki wa viwanda vidogo kwenda kutengeneza spirit (Vilevi).

MEET THE DEMANDS OF LOCAL MARKET
🔹Kwa Pakistani pekee na India ni ngumu sana kuzalisha vitu vyako vikauzwe huko, Imagine mpaka vijijini watu wanaunda Feni na cherehani je Mjini watakua wakiunda nini? Kiufupi jamaa wanaokoa nchi yao katika foreign exchange maana pesa nyingi wana spent palepale na si kuinports.

FOREGN INCOME EXCHANGE
🔹Kwa research kadhaa inaonekana bidhaa kama Rugs, Carpets, Brassware nakadhalika zinasosafirishwa duniani, basi asilimia 30 hutoka Pakistan na india, hii ni kwa mujibu wa “export receipts”

REDUCES RULAL - URBAN MIGRATION
🔹Kama kijijini kuna Kazi, then bidhaa zinapatikana kwa urahisi, Ni nani atatoka Kijijini kwenda mjini asijue anaenda kufanya nini, ndio maana kuna point huitwa “disparity in income” yaani maeneo mengi ya vijijini yatakua na center zilizoendelea, maana watu watakua wengi, na huduma zitapatikana.

🔹Mwaka 2020 Serikali ya India kupitia Ministry of Statistics and Programme Implementation ilitoa matokeo ya research yao ambayo ilionyesha;

🔹Katika unit 100% za viwanda kiujumla vinavypatikana India, Basi Unit 95 ni viwanda vidogo wanvyoviita (SSI)
Pia waligundua kuwa vimeajiri jumla ya watu 175 lakh (Watu milioni 17,500,000)
Viwanda Vidogo ndani ya India vinachangia jumla ya asilimia 30% ya GDP, Huku vikichangia 33.4% ya bidhaa zinazozalishwa India kiufupi kwa sasa wanaviita “backbone of the Indian economy”

CP: ElimikaWikiendi na Mdemu Polycarp
Kwa taarifa yako wahindi ndio waanzilishi wa viwanda vidogo vidogo, sisi tulijaribu kuanzisha SIDO tukashindwa kwa kukosa ubunifu kwani vyote vilijikita kwenye majiko ya mkaa na ndoo tu. ndoo za plastiki zilipoingia za bati zikafa. Wahindi ni wabunifu wana bidhaa nyingi tofauti tofauti na huwa hawatupi kitu bila kukirejerea.
Kabla ya Uhuru na baada, hapa Tanganyika wahindi ndio waliongoza kwa kuwa na viwanda vidogo vidogo na tulipoanzisha SIDO wakatupisha ili wao waendelee na biashara kubwa ambazo sisi hatukuziweza, bahati mbaya hizo ndogo nazo zimetushinda.
 
Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa.

IPI NI FAIDA YA VIWANDA VIDOGO

LABOUR INTENSIVE
🔹Hapa tunamaanisha, katika ufanyaji wa kazi ndani ya viwanda hivi idadi ya Watu ni kubwa kuliko idadi ya mashine, Pakistani katika research nyingi inaonekana 80 asilimia ya kiwanda watu ndio hufanya kazi, Hii inasaidia kupunguza idadi ya watu wasiokua na ajira, Pia inasaidia kujiajiri sababu mtu anapokua akifanya kazi yeye mwenyewe anajua nini kinafanyika ili kuzalisha bidhaa.

GAINFULL EMPLOYMENT TO WOMEN
🔹Ujue katika nchi za Pakistan na india mwanamke au watoto wadogo hawaruhusuwi kabisa kufanya kazi nje ya nyumbani, lakini ukiangalia videos nyingi za huko kwao utaona watoto na Wanawake, Hii ni kwa sababu wanafanya kazi nyumbani, kiwanda kinapatikana nyumbani, Hii inaongeza active labour-force. Pia Wanawake wamekua waanzilishi wa viwandaa vingi vya kuunda Makapeti na mishumaa.

RE-USE OF LARGE SCALE INDUSTRIES WASTE
🔹Mara nyingi viwanda vidogo hutumia hata mabaki ya viwanda vikubwa kutengeneza bidhaa, mfano viwanda vya sukari vikubwa India baada ya kukamua miwa, yale mabaki huchukuliwa na wamiliki wa viwanda vidogo kwenda kutengeneza spirit (Vilevi).

MEET THE DEMANDS OF LOCAL MARKET
🔹Kwa Pakistani pekee na India ni ngumu sana kuzalisha vitu vyako vikauzwe huko, Imagine mpaka vijijini watu wanaunda Feni na cherehani je Mjini watakua wakiunda nini? Kiufupi jamaa wanaokoa nchi yao katika foreign exchange maana pesa nyingi wana spent palepale na si kuinports.

FOREGN INCOME EXCHANGE
🔹Kwa research kadhaa inaonekana bidhaa kama Rugs, Carpets, Brassware nakadhalika zinasosafirishwa duniani, basi asilimia 30 hutoka Pakistan na india, hii ni kwa mujibu wa “export receipts”

REDUCES RULAL - URBAN MIGRATION
🔹Kama kijijini kuna Kazi, then bidhaa zinapatikana kwa urahisi, Ni nani atatoka Kijijini kwenda mjini asijue anaenda kufanya nini, ndio maana kuna point huitwa “disparity in income” yaani maeneo mengi ya vijijini yatakua na center zilizoendelea, maana watu watakua wengi, na huduma zitapatikana.

🔹Mwaka 2020 Serikali ya India kupitia Ministry of Statistics and Programme Implementation ilitoa matokeo ya research yao ambayo ilionyesha;

🔹Katika unit 100% za viwanda kiujumla vinavypatikana India, Basi Unit 95 ni viwanda vidogo wanvyoviita (SSI)
Pia waligundua kuwa vimeajiri jumla ya watu 175 lakh (Watu milioni 17,500,000)
Viwanda Vidogo ndani ya India vinachangia jumla ya asilimia 30% ya GDP, Huku vikichangia 33.4% ya bidhaa zinazozalishwa India kiufupi kwa sasa wanaviita “backbone of the Indian economy”

CP: ElimikaWikiendi na Mdemu Polycarp
Sidhani "Cottage" ni jina halisi ya hivyo viwanda, makazi yangu ninayaita "cottage" kwa sababu ni kijumba kidogo kutosheleza familia yetu tu, na hakiingiliani na majirani.
Picha baadae.
 
Jiwe alikuja na sera ya Tanzania ya viwanda mkamuita dictator na majina mabaya mabaya mengi mpaka mkamuua.

Mwingine akasema hata cherehani nacho ni kiwanda, mkamzomea.

Muda mwingine watanzania wanakuwaga kama madem, hawajui wanachokitaka.
Mademu hapa unawaonea.

Watanzania kwa asilimia 99.99 ni wanafiki by profession.

Na mnafiki ni mtu mbaya zaidi ya Mchawi kwa maana atakaa na wewe Kama ndugu yako na kamwe hutojua mpaka pale atakapokuharibia.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Sidhani "Cottage" ni jina halisi ya hivyo viwanda, makazi yangu ninayaita "cottage" kwa sababu ni kijumba kidogo kutosheleza familia yetu tu, na hakiingiliani na majirani.
Picha baadae.
Elimu imekupiga chenga kijana wangu au hata tafasiri imekuwa ngumu kwako.
 
Mademu hapa unawaonea.

Watanzania kwa asilimia 99.99 ni wanafiki by profession.

Na mnafiki ni mtu mbaya zaidi ya Mchawi kwa maana atakaa na wewe Kama ndugu yako na kamwe hutojua mpaka pale atakapokuharibia.
Hili limekuwa janga la taifa.
 
Hii ni hata China na Vietnam , ni hivyo hivyo.
Wanazalisha bidhaa nyingi ambazo zinauzwa dunia nzima na bidhaa nyingi zinatoka kwenye hivyo viwanda vidogo vidogo vya mitaani na vijijini.
Malimbukeni wanavaa nguo na vitu expensive kama Gucci ,Zara nk bila kujua haya Makampuni yanatumia jina tu kama brand ,producers wenyeewe ni hivi viwanda vidogo huko Asia kama Indonesia ,Bangladesh ,Vietnam ,China ,India ,Thailand nk
Makampuni makubwa yao yanawatumia hawa small local producers kama subcontractors na gharama ya uzalishaji wa hizo bidhaa ni cheap mno ,sema ikishaingizwa kwenye supply chain ya hawa multinational corporations ndio hivyo sasa kitu kinakiwa hyped Kwa bei na sifa kumbe wahuni tu huko mitaani nchi za wenzetu ndio wanazalisha hizi bidhaa .
Ni strategies Tu ,hata sisi tungeweza kusuka mifumo yetu inayoruhusu hilo
 
Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa.

IPI NI FAIDA YA VIWANDA VIDOGO

LABOUR INTENSIVE
🔹Hapa tunamaanisha, katika ufanyaji wa kazi ndani ya viwanda hivi idadi ya Watu ni kubwa kuliko idadi ya mashine, Pakistani katika research nyingi inaonekana 80 asilimia ya kiwanda watu ndio hufanya kazi, Hii inasaidia kupunguza idadi ya watu wasiokua na ajira, Pia inasaidia kujiajiri sababu mtu anapokua akifanya kazi yeye mwenyewe anajua nini kinafanyika ili kuzalisha bidhaa.

GAINFULL EMPLOYMENT TO WOMEN
🔹Ujue katika nchi za Pakistan na india mwanamke au watoto wadogo hawaruhusuwi kabisa kufanya kazi nje ya nyumbani, lakini ukiangalia videos nyingi za huko kwao utaona watoto na Wanawake, Hii ni kwa sababu wanafanya kazi nyumbani, kiwanda kinapatikana nyumbani, Hii inaongeza active labour-force. Pia Wanawake wamekua waanzilishi wa viwandaa vingi vya kuunda Makapeti na mishumaa.

RE-USE OF LARGE SCALE INDUSTRIES WASTE
🔹Mara nyingi viwanda vidogo hutumia hata mabaki ya viwanda vikubwa kutengeneza bidhaa, mfano viwanda vya sukari vikubwa India baada ya kukamua miwa, yale mabaki huchukuliwa na wamiliki wa viwanda vidogo kwenda kutengeneza spirit (Vilevi).

MEET THE DEMANDS OF LOCAL MARKET
🔹Kwa Pakistani pekee na India ni ngumu sana kuzalisha vitu vyako vikauzwe huko, Imagine mpaka vijijini watu wanaunda Feni na cherehani je Mjini watakua wakiunda nini? Kiufupi jamaa wanaokoa nchi yao katika foreign exchange maana pesa nyingi wana spent palepale na si kuinports.

FOREGN INCOME EXCHANGE
🔹Kwa research kadhaa inaonekana bidhaa kama Rugs, Carpets, Brassware nakadhalika zinasosafirishwa duniani, basi asilimia 30 hutoka Pakistan na india, hii ni kwa mujibu wa “export receipts”

REDUCES RULAL - URBAN MIGRATION
🔹Kama kijijini kuna Kazi, then bidhaa zinapatikana kwa urahisi, Ni nani atatoka Kijijini kwenda mjini asijue anaenda kufanya nini, ndio maana kuna point huitwa “disparity in income” yaani maeneo mengi ya vijijini yatakua na center zilizoendelea, maana watu watakua wengi, na huduma zitapatikana.

🔹Mwaka 2020 Serikali ya India kupitia Ministry of Statistics and Programme Implementation ilitoa matokeo ya research yao ambayo ilionyesha;

🔹Katika unit 100% za viwanda kiujumla vinavypatikana India, Basi Unit 95 ni viwanda vidogo wanvyoviita (SSI)
Pia waligundua kuwa vimeajiri jumla ya watu 175 lakh (Watu milioni 17,500,000)
Viwanda Vidogo ndani ya India vinachangia jumla ya asilimia 30% ya GDP, Huku vikichangia 33.4% ya bidhaa zinazozalishwa India kiufupi kwa sasa wanaviita “backbone of the Indian economy”

CP: ElimikaWikiendi na Mdemu Polycarp
Makampuni mengi makubwa ya nguo kama zara etc wanatengeneza pakistan na bangladesh products zao ,wamewekeza kwenye technology then nguo zinasafirishwa kuingiza tena ulaya na marekani
 
Back
Top Bottom