Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Lakini si ipo kinyume na sheria kupost picha ya mtu bila ridhaa yake lakini pia hata tuhuma husika hazijathibitishwa bado.
 
mi nilijua ni mwanamke, halafu yupo kama vile wale wakina vidole juu
 
Nadhani itakuwa vyema kama jeshi la polisi likitanua zaidi wigo wa kukamata wanafanya mitandao kama vijiwe vya matusi...inashangaza huyu anaetumia jina sio lake kakamatwa wakati kuna watu wanatumia majina yao na wanatukana matusi mazito mazito na bado wanadunda mtaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…