Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Tatizo Mange haishi Bongo, kama kapata uraia wa USA ni ngumu kweli kumkamta raia wao na kumleta Bongo kujibu mashitaka, hasa kwa makosa ya matusi mtandaoni. Ila ipo siku atajichanganya kuja bongo watamdaka.

Ni kweli mkuu, ila nakumbuka kuna jamaa sijui alikua wa utamu? alisakwa kwa udi na uvumba na kama sikosei alikamatwa.
Hizi sheria za mtandao inabidi ziongeze wigo ukizingatia mazingira ya utandawazi. Au makampuni yaliyopo Tanzania yanakuja na vifungu kwamba sheria za nchi yao ndio zitatawala mikataba na mwenendo wa shughuli zao.
 
Hapa ni kuw makin utashangaa na hum tunavamiwa............... [Emoji23][emoji23][emoji23]

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Apo sasa kiba yy mwenyewe kama kuna mtu kama huyu anaempigia promo ujinga huu ona sasa nashuri kiba amuache aende afait pekeake mahakamani chakusikitisha ni me dha
 
Ni kweli mkuu, ila nakumbuka kuna jamaa sijui alikua wa utamu? alisakwa kwa udi na uvumba na kama sikosei alikamatwa.
Hizi sheria za mtandao inabidi ziongeze wigo ukizingatia mazingira ya utandawazi. Au makampuni yaliyopo Tanzania yanakuja na vifungu kwamba sheria za nchi yao ndio zitatawala mikataba na mwenendo wa shughuli zao.
Jamaa wa zeutamu alimvamia mtoto wa mjini aliezunguka sana huko mbele mbele kisha akapewa ule mjengo wa ufukweni pale kwenye matausi yule wa enzi zile sio huyu. Sasa jamaa nasikia alimuibukia getoni kwake kulekule kwa Trump. Baada ya hapo ndio kimya hakuna ze-utamu wala uchungu.
DISCLAIMER: Habari hii haimhusu raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, majina ya watu , vitu na mitaa iliyotajwa humu haiwakilishi vitu au watu halisi.
 
Inabidi tuchukue tahadhari hizi sheria za mtandao, na ya habari ni mtego mkali sana ukikosea umekwisha..
 
Dah afadhali huyu jamaa ni anatukana, yaani mpaka basi na Kuna mwenzake anaitwa dullah nani sijui nae anatukana. Kwa wale msiojua ukitaka update au taarifa yyt mpya ya kiba lazima ianzie either kwa huyu shilole au dengue na hata habari ya kiba kushinda mtv ema zilianzia kwa huyu. Sijui labda anaweza kukawa na support anayoipata hatujui. Huyu shilole mimi nilizani atakuwa mwanamke (sijui shoga), kumbe mwanaume, dah nawahurumia wazazi wake, kama ulikuwa unaangalia comment za watu ktk page za mtv ema, mtv mama kiranja aliyekuwa anaongoza kutukana matusi baada ya mtv kukosea kumpa tuzo wizkid ni huyu, akaenda mpaka ktk page ya wizkid, wizkid baada ya kuchoshwa na matusi take akamblock, baadaye akahamia ktk instagram page za mabloger, TV na radio zilizokuwa zikitangaza utata wa tuzo za mtv ema katukanana na wanaijeria ww na baadhi ya wajinga wenzake wakajiunga nae.Kuna watu watasema mbona wengine hawajakamatwa, mi naamini ni swala la Muda watakamatwa, Ila asanteni vyombo vya usalama ila bado hawa dullah na dengue Homa ya jiji hawa nao wasekwe ndani.
 
Bado wengine...hivi kwani huwezi kumpinga mtu kwa hoja mpaka uporomoshe mitusi namna hii?

Nimesikitika sana...Dogo kawatukana familia nzima ya Nassibu kusema kweli sio uugwana huwezi kumtukana bi.Sandra namna ile kwa umri wake huyo dogo yule Bi.Sandra anaweza kuwa bibi yake achilia mbali mama ake alafu anamporomoshea matusi kama anaongea na demu wake ghetto.

Huyu apate anachostahili ili iwe fundisho kwa wengine wenye kupinga vitu kwa matusi badala ya kupinga kwa hoja.Ameeeeen
 
Team Kiba wanakuwaga na matusi halafu wana panic sana, hata humu jf wako hivo hivo.

NB
Niko tim Tanzania
Kwani team domo hawatukani sema hyo do go hajielewi tu unatukana watu halafu unapost picha zako
 
Ni sawa huyo kakamatwa lakini kuna team diamond pia wanaotukana kwahiyo wakikamatwa na wao wasilete mdomo watulie tuli , alafu hivi hawa watu huwa wana malipo kweli au n kutafuta tu kiki za kijinga
Kuna yule shoga anaitwa dulla square anamtukana wema na kiba ila hakamatwi
 
Back
Top Bottom