Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayeye siku zinahesabika pamoja na yule shoga James deliciousKwanini yule wa team domo hakamatwi??? Dullaskwea????
Kwa kweli wakamatwe.Nayeye siku zinahesabika pamoja na yule shoga James delicious
Tatizo Mange haishi Bongo, kama kapata uraia wa USA ni ngumu kweli kumkamta raia wao na kumleta Bongo kujibu mashitaka, hasa kwa makosa ya matusi mtandaoni. Ila ipo siku atajichanganya kuja bongo watamdaka.
Hahahahah spati picha atakavyoshusha mitusi kwa hao team pendwaKwa kweli wakamatwe.
Halafu kama dula na james hadi picha zao zipo (nasikia james alikula kichapo jana toka team wema)
Hawa watu wana matusi ya mwaka 2016 kabisa
Bila kumsahau semausikike
Baada ya kuskia mwenzake kakamatwa nimetembelea akaunti yake amefuta matusi yoteKwanini yule wa team domo hakamatwi??? Dullaskwea????
Khaaaa [emoji13] aendelezwe kipaji hichoView attachment 435897 hiki ndicho kilichomponza na wengine wapo humu wakamatwe
Jamaa wa zeutamu alimvamia mtoto wa mjini aliezunguka sana huko mbele mbele kisha akapewa ule mjengo wa ufukweni pale kwenye matausi yule wa enzi zile sio huyu. Sasa jamaa nasikia alimuibukia getoni kwake kulekule kwa Trump. Baada ya hapo ndio kimya hakuna ze-utamu wala uchungu.Ni kweli mkuu, ila nakumbuka kuna jamaa sijui alikua wa utamu? alisakwa kwa udi na uvumba na kama sikosei alikamatwa.
Hizi sheria za mtandao inabidi ziongeze wigo ukizingatia mazingira ya utandawazi. Au makampuni yaliyopo Tanzania yanakuja na vifungu kwamba sheria za nchi yao ndio zitatawala mikataba na mwenendo wa shughuli zao.
Inabidi tuchukue tahadhari hizi sheria za mtandao, na ya habari ni mtego mkali sana ukikosea umekwisha..Jamaa wa zeutamu alimvamia mtoto wa mjini aliezunguka sana huko mbele mbele kisha akapewa ule mjengo wa ufukweni pale kwenye matausi yule wa enzi zile sio huyu. Sasa jamaa nasikia alimuibukia getoni kwake kulekule kwa Trump. Baada ya hapo ndio kimya hakuna ze-utamu wala uchungu.
DISCLAIMER: Habari hii haimhusu raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, majina ya watu , vitu na mitaa iliyotajwa humu haiwakilishi vitu au watu halisi.
Kwani team domo hawatukani sema hyo do go hajielewi tu unatukana watu halafu unapost picha zakoTeam Kiba wanakuwaga na matusi halafu wana panic sana, hata humu jf wako hivo hivo.
NB
Niko tim Tanzania
Kuna yule shoga anaitwa dulla square anamtukana wema na kiba ila hakamatwiNi sawa huyo kakamatwa lakini kuna team diamond pia wanaotukana kwahiyo wakikamatwa na wao wasilete mdomo watulie tuli , alafu hivi hawa watu huwa wana malipo kweli au n kutafuta tu kiki za kijinga