- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!
le Mutuz