Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Tatzo anafanya hvo hana taaluma yyte ya computer aulze police kwa nn wameshndwa kumkamata tanzagiza hdi leo fanya kitu ukiwa na uhakika huwez kugundulika so imekula kwake huyo atulie tu sheria ifanye yake maan sio kwa mitusi ilee
facts...IT.CS ni raha sana naujielewesio unatukana kishabiki hujui hata IP address au MAC addres na mengine......anatukanaaf kumbe ye mwenyewe mbulula
 
facts...IT.CS ni raha sana naujielewesio unatukana kishabiki hujui hata IP address au MAC addres na mengine......anatukanaaf kumbe ye mwenyewe mbulula
Ndo hvo....hvo vitu awaachie watu waliopita shule wenye uwezo wa kubadili location waonekane sehem tofaut tofaut ili hali wapo sehem moja alf hapo nahic walimtumia dem maan sisi wanaume kwa kupenda k za bure hatujambo
 
Wiki iliopita viongozi wa WCB walipost picha na video iliyotolewa sauti wakiwa wamemkamata kijana ambaye ni shabiki wa Ali kiba sasa leo nimekutana na video ambayo inaonyesha jinsi kijana alivyo kuwa anahojiwa na viongozi wa Wcb[emoji116]
 
Interogation ya Tz lazima ukubariane na anayekuhoji tofauti na hapo kerebu mpaka ukubari tofauti na wenzetu navyoona wenye IDx
 
Maranyingi jamii inapo shindwa kujua wapi ilijikwaa basi makosa kama haya ujitokeza na uoga na aibu upotea machoni na midomoni mwa watu.
Mtanzania ambae ameasisi huu utamaduni wa matusi kama sehemu ya maisha yenu si mwingine ni rais mstaafu Benjamin William Mkapa. ..kitendo chake chakutusi in public jamii ya upande wa pili kimelifanya ili Taifa kupoteza dira ingawa zilitokea sauti zakumwambia awatake radhi watanzania lkn sauti hazikusikika bali za kutetea hayo matusi ndizo zilizo sikika.
..Nitawakumbusha tena rais wetu Dr.Magufuli nae hakusita kuendeleza matusi na maneno ya kejeri dhidi ya watanzania. .Zamani kidogo kama waziri alisikika akiwajibu watu wa Kigamboni baada ya kulalamika kua nauli ni kubwa kwa kusema kama huna nauri kapige mbizi..Hii kauli ni mbaya sana n.a. matusi kwa watu wenye shida ni kama mtoto anakwambia mzazi kua sijashiba unamwambia aende akaibe au akale kinyesi chake. Lakini pia kuwaita wa vilaza kwenye kadamnasi kusema ukweli ni jambo baya kwetu kama watanzania ingawa wengi mnaweza kulitetea kua ni halali bila kuangalia mkutadha .
MTINDO WA MATUSI UMEASISIWA NA MKAPA NA MAGUFULI
 
bila shaka unajua maana ya matusi. tofautisha na kejeli au ukweli unaoumiza.
 
mbona anadunda tu?
 
Mbona dogo mwenyewe anaonekna kama siyo rizki?
 
Tatzo anafanya hvo hana taaluma yyte ya computer aulze police kwa nn wameshndwa kumkamata tanzagiza hdi leo fanya kitu ukiwa na uhakika huwez kugundulika so imekula kwake huyo atulie tu sheria ifanye yake maan sio kwa mitusi ilee
Huyo TANZAGIZA kaishia wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…