Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Mitusi ilikuwaje mkuu? Kama ya wadada wa uswahilini?
Ndo maana huwa nasema hizi mambo za team sijui kiba na diamond ni mambo ya kitoto na mambo ya kike na wasichana wakazi na ma house boy.
 
Kumbe Huyo shishi kiuno si shsishi baybe itabid nimu unfollow

sent using TV ya chogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…