Mgombea urais wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, ametangaza ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 akimtaka Rais Paul Biya akubali matokeo na “aiheshimu sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura.”
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook Oktoba 13, 2025 usiku akiwa nyumbani kwake mjini Garoua, Tchiroma alisema,
“Ushindi wetu ni wazi, lazima uheshimiwe. Watu wamechagua, na chaguo hilo halipaswi kupuuzwa.”
Tchiroma, mwenye umri wa miaka 76, ambaye hapo awali alikuwa msemaji wa serikali na waziri wa ajira, alijitenga na Biya mapema mwaka huu na kuendesha kampeni iliyovutia umati mkubwa na kuungwa mkono na muungano wa vyama vya upinzani na asasi za kiraia
Kauli hiyo imetolewa muda mfupi baada ya zoezi la kuhesabu kura kuanza. Rais Biya, mwenye miaka 92 na Rais mzee zaidi duniani, anawania muhula wa nane baada ya kukaa madarakani kwa miaka 43
Tchiroma aliwashukuru wananchi kwa kujitokeza licha ya vitisho na kubaki kwenye vituo vya kupigia kura hadi usiku kuhakikisha kura zao zinalindwa. “Tunaiweka serikali mbele ya wajibu wake,” alisema. “Ama ikubali ukweli wa sanduku la kura kwa heshima, au ichague kulisukuma taifa kwenye machafuko yatakayoliacha jeraha lisilofutika.”
Serikali bado haijatoa majibu rasmi, lakini Waziri wa Utawala wa Ndani, Paul Atanga Nji aliwaonya wagombea kwamba kutangaza matokeo bila idhini ni “uhaini wa juu,” akisisitiza kuwa ni Baraza la Katiba pekee lenye mamlaka ya kutangaza mshindi ifikapo Oktoba 26, 2025. Hata hivyo, Tchiroma alisema atachapisha hivi karibuni matokeo ya kura kwa kila mkoa akitumia takwimu zilizowekwa hadharani, akiongeza kuwa “Ushindi huu si wa mtu mmoja au chama kimoja, bali ni wa wananchi wa Cameroon. Aliwataka pia wanajeshi, maafisa wa usalama na watumishi wa umma kubaki waaminifu kwa jamhuri, si utawala
Soma pia
==========
Cameroon opposition candidate Issa Tchiroma declared victory late on Monday in the country's October 12 presidential election, urging President Paul Biya to accept defeat and "honour the truth of the ballot box"
"Our victory is clear. It must be respected," Tchiroma said in a speech on his Facebook page from his hometown of Garoua in the north of the Central African state. "The people have chosen. And this choice must be respected."
Tchiroma, 76, a former government spokesperson and employment minister, broke ranks with Biya earlier this year and mounted a campaign that drew large crowds and endorsements from a coalition of opposition parties and civic groups
Biya, 92, the world's oldest serving head of state, is seeking an eighth term after 43 years in power. Analysts had expected his control over state institutions and a fragmented opposition to give him an edge in the election, despite growing public discontent over economic stagnation and insecurity
Tchiroma praised voters for defying intimidation and staying at polling stations late into the night to protect their ballots
"I also thank candidates who have already sent me their congratulations and recognised the will of the people," Tchiroma said
"We have placed the regime before its responsibilities: either it shows greatness by accepting the truth of the ballot box, or it chooses to plunge the country into turmoil that will leave an indelible scar in the heart of our nation," he warned
The government has not officially responded to Tchiroma's declaration
However, Minister of Territorial Administration Paul Atanga Nji warned over the weekend that any unilateral publication of results would be considered "high treason," adding that only the Constitutional Council has the authority to announce the winner
Cameroon's electoral law allows results to be published and posted at polling stations, but final tallies must be validated by the Constitutional Council, which has until October 26 to announce the outcome
Tchiroma said he would soon release a region-by-region breakdown of vote tallies compiled from publicly posted results
"This victory is not that of one man, nor of one party. It is the victory of a people," he said.
He also called on the military, security forces and government administrators to remain loyal to the "republic, not the regime"
Cameroon's single-round electoral system awards the presidency to the candidate with the most votes. More than 8 million people were registered to vote in the election
Source: Reuters

- Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Cameroon huku Upinzani wakilalamika kupewa vitisho
- Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon