Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye agoma kula gerezani ili kupinga kuendelea kushikiliwa

Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye agoma kula gerezani ili kupinga kuendelea kushikiliwa

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake.

Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na anashitakiwa kwa kumiliki silaha kinyume cha sheria na uhaini.

Wajumbe wa Kamati ya Haki za Kibinadamu ya Bunge waliotembelea gereza hilo wameeleza kuwa Dkt. Besigye anahisi yuko hatarini kwakuwa serikali ambaye ni mlalamikaji ina mamlaka ya udhibiti wa gereza.

ug.png

==========================================

Detained Ugandan opposition politician Kizza Besigye has begun a hunger strike as his time spent in detention awaiting trial nears three months.

Besigye, 68, was charged in a military court with possession of pistols and attempting to purchase weapons abroad - accusations which he denies.
On Tuesday, an aide from Besigye's political movement, the People's Front for Freedom (PFF), told the BBC: "We believe he is protesting because he should not still be in prison - he should be home."

Besigye's trial was initially postponed until January - it is now unclear when the court case will begin.
Besigye used to be a personal doctor for Uganda's longtime president, Yoweri Museveni, but went on to become an opposition leader.

He has contested and lost four presidential elections against Museveni, who has been in power since 1986. The veteran opposition figure has previously accused the Ugandan authorities of political persecution.

Source: The Nation, BBC News
 
Back
Top Bottom