McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Rais wa Marekani Donald Trump amepokea Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela, María Corina Machado, kama ishara ya kutambua mchango wake katika juhudi za kudai uhuru na demokrasia nchini Venezuela.
Hata hivyo, Trump si mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, kwani medali hiyo ni ya Machado binafsi. Hatua hiyo imeibua mjadala, ikizingatiwa kuwa maono ya Tuzo ya Amani ya Nobel yanasisitiza misingi ya amani, mazungumzo na kutokutumia nguvu.
Kwanza huyu Machado ni nani?
María Corina Machado ni kiongozi mkuu wa upinzani nchini Venezuela na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa kazi yake ya kutetea haki za kiraia
Alizaliwa mwaka wa 1967, ana taaluma ya uhandisi na uchumi na alikuwa mkosoaji mkubwa Hugo Chavez na Maduro
Katika uchaguzi wa 2024 alikataa kushiriki rasmi kwa sababu alifungiwa, lakini aliunga mkono mgombea mwingine wa upinzani, Edmundo González Urrutia
Kwa sababu ya vitisho vya kukamatwa, alikimbia nchi kwa siri Desemba 2025 na kuelekea sherehe ya Nobel huko Norway, akiepuka vizuizi vya kusafiri vilivyowekwa dhidi yake. Hivi sasa anaishi uhamishoni
==================================
President Donald Trump met Thursday with Venezuelan opposition leader Maria Corina Machado, who presented him with her Nobel Peace Prize medal. The president called it a "wonderful gesture of mutual respect."
"María presented me with her Nobel Peace Prize for the work I have done," Trump wrote on his social media platform. He also said that Machado was a "wonderful woman who has been through so much" and that it was a great honor to meet her.
Following the meeting, a White House official confirmed to ABC News that Trump did accept the medal.
Further details about the closed-door meeting were not immediately revealed by the White House. Asked about the meeting by ABC News' Mary Bruce, Trump said it went "great."
Source: ABC News