Kiongozi wa waasi asema wako karibu kuchukua ushindi, Ethiopia

Mkuu hivi wale waarabu wa kule morocco na Algeria kumbe waliletwa ili kuzifanya hizo nchi zioonekane kuwa ni za kiarabu
Haswaa!! kuna ile vita ya Ilamic jihad nayo ilichangia kusukuma weusi kusini zaidi!! huko mbali mbona hapo chini Madagascar, Mayote, Ushelisheli, huku kiswahili km kawa!! siyo mbali na Zanzibar!! hata Zanzibar yenyewe asingekuwa nyerer kukomaa!! ni weupe tupu! waliletwa na Mkoloni tena maksudi! elitrea, ethiopia walishindwa mbaya!
 
Asili ya watu wa North Africa ni berbers Hawa waarabu ni wa juzi juzi tu Karne ya juzi juzi tu..Karne ya Saba katika kipindi Cha kusambaza uislamu duniani Yani islamization movement....7th c...hata hao wa Egypt..ni mamluki asili ya watu wa hapo ni wale wa Ethiopia wa wa leo ....walipokuja waarabu waliwahasi na kuwaoa wanawake wao hivyo hiyo ilichangia kumaliza kizazi Cha watu weusi..hii ilifanyika kwa pande mbili za sehemu ya Africa ya kaskazini Yani (mashrig) Egypt na maghreb) Yaani Libya ..Tunisia morroco na alge
 
Acha kupotosha watu kijana, jina lenyewe jeremia tutegemee utawasemea mazuri waisilamu!!!!
 
Mkuu hivi wale waarabu wa kule morocco na Algeria kumbe waliletwa ili kuzifanya hizo nchi zioonekane kuwa ni za kiarabu
Haswaa!! kuna ile vita ya Ilamic jihad nayo ilichangia kusukuma weusi kusini zaidi!! huko mbali mbona hapo chini Madagascar, Mayote, Ushelisheli, huku kiswahili km kawa!! siyo mbali na Zanzibar!! hata Zanzibar yenyewe asingekuwa nyerer kukomaa!! ni weupe tupu! waliletwa na Mkoloni tena maksudi! elitrea, ethiopia walishindwa mbaya!
Aisee mnachekesha sana 😁 wale hawatoki pale, pale ni kwao bwana acheni kulialia. Mbona kuhusu mayahudi yaliyolaaniwa mnayatetea na kusema ile ardhi ni yao!!!!!
 
Wayahudi pia ni walewale tu! na wal e wapo pale kwa jeuri sababu ile ardhi ya palestina ya leo waliitoambabu zao kina aleander the great! ndo walipigana kuondoa wayahudi weusi!
 
Kwamba hawaruhusiwi kutumia Mto Nile kwa maendeleo ya nchi yao kisa kumuogopa Egypt? Unajisikia unachoongea mkuu?
Hizi ndizo akili za waafrika wengi, yani egypt uwa anajifanya nile ni mto wake binafsi.
 
Kuhusu ile issue ya mto nile, cwezi rudia rudia itakuwa unajuwa
Issue ya mto Nile ni kuwa Egypt hakutaka Ethiopia kutumia maporomoko ya Blue Nile kutekeleza mradi wao wa umeme (GERD). Haya niambe wewe unalifahamu vipi hilo na kosa la Ethiopia ni lipi?
 
Hapo ni wachache sana, viongozi wa waasi!! wanapewa hela kufunguliwa makampuni ya ki Biashara USA, CANADA, UFARANSA nk na familia zao zina kaa huko!! safe heaven, and escaping route salama in case km mambo yakiwa mabaya wanapewa!

Lengo nikuweka mtu amabe ataleta uharibifu Ethiopia na kurusu kuitumia Ethiopia km wanavotaka soon watasema siyo nchi ya kiafrica ile! bali waarabu!! alafu hao waaarabu wahindi wataletwa kwa maelfu kukaa humo bure!

hivi ndivo walivo fanya kwa, Africa kaskazini, Mashariki ya kati na waka faulu! walishindwa kwenda kusini ajiliya Sun scorch ajili ya low Melanin, Mbung'o, mbu nk walikuwa wanakufa sana na ferltity rate yao ikawa ndoogo sana!
Wapi hao wanaofadhili ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asili ya watu wa North Africa ni berbers Hawa waarabu ni wa juzi juzi tu Karne ya juzi juzi tu..Karne ya Saba katika kipindi Cha kusambaza uislamu duniani Yani islamization movement....7th c...hata hao wa Egypt..ni mamluki asili ya watu wa hapo ni wale wa Ethiopia wa wa leo ....walipokuja waarabu waliwahasi na kuwaoa wanawake wao hivyo hiyo ilichangia kumaliza kizazi Cha watu weusi..hii ilifanyika kwa pande mbili za sehemu ya Africa ya kaskazini Yani (mashrig) Egypt na maghreb) Yaani Libya ..Tunisia morroco na alge
Karne ya 7!!!?..wanubi wametawala misri kabla yesu hahaha,na hao waarabu walikuwepo,warumi walivamia Tunisia miaka mingi huko,waarabu walikuwepo,unadanganya waneletwa Karne ya 7!!!..acha kuongea vitu usivyovijua
 
M

Muarabu na Mpemba/Muarabu na Coloured na Latino na Wamanga na Mullato..... hawana tofauti kabisaaaaaa tu! ni km Lonel Richie tu!
Wasikudanganye wale! ila wanaitwa hayo majina kulingana na walipo!

hii ni baada ya baba zao wazungu kuwakataa wakapewa second class citizenship!
 
Unasoma vitabu vya wapi babu!!!?..au ni msabato masalia!!...babeli yaani Iraq ni waarabu Karne dahari,lugha ya kiarabu ilivyo Pana haiwezi kuwa lugha chotara ya juzi,3000ad Musa na waisrael wapo arabuni misri,ni uchunguzi wa hivi juzi umeonesha wakazi wa mwanzo uingereza ni weusi
 
Te!!te!!teee! Dogo unafurahisha sana weye!! Naona hujui!! hata chotara ni nini! ebu nambie Lugha ya chotara ni ipi!....
Uchunguzi upi huo wa juzi wa hao waarabu wako? au....any way!! fanya uchunguzi wewe km msomi! usitegemee adui yako afanye uchunguzi kijana af aje na postive results! hapo ni lazima ule za mbavu tu!
 
Inaelekea msomi wewe hata vyombo vya habari vya kimataifa hufuatilii,BBC walitangaza huo utafiti,tafuta
 
Hapana Mkuu! Bado hujanishawishi kwa habari ya BBC! hawa wote bado ni Manzi ga Nyanza! Vyombo vya Western Media vyotee! Mkuu hivi! ...... labda humjui Mkoloni ni mtu wa namna gani? . au Colony Master.....
 
Back
Top Bottom