Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Kituko,
Madrasa ni shule.
Darsa ni darasa na darasa ni shule.
Hivi wewe shule hadi pawe na kuta, milango na madirisha?
Sisi kwetu maalim anaweza kusomesha bila ya jengo na
ilm yote hii iliyopo Afrika ya Mashariki imesomeshwa kwa
mtindo huo.
Yeah kujua kama muhamad alikao katoto ka miaka Tisa na kuahidiwa bikra 70 na mito ya pombe peponi
Hawakuwekeza bali mfumo uliwababa''...zitasomesha Qur’an pamoja na masomo mengine.''
Kipaumbele cha waislam ilikuwa Ilm akhera halafu kwa mbali elimu dunia. Vijana wengi wa kiislam walikosa elimu dunia tokea zamani na ndio maana hili jambo limewatesa kwa muda mrefu na kuanza kushambulia wakristo kuwa wanawanyonya huku wakisahau wakristu wao waliwekeza katika elimu yenye manufaa zaidi.
Mimi si muhenga ila huwa napenda kujua na kudadisi mambo. Ningependa kujua mfumo gani uliwabana kama waliweza kujenga skuli na kuwekeza katika Elimu ya kiarabu na kuacha elimu dunia ambayo ingewapa ujuzi mbalimbali.Hawakuwekeza bali mfumo uliwababa
Kodi za waislam zilikusanywa na mkoloni na wakapewa wamisionari waendeshe shule Tanganyika, Mkoloni akaweka sharti la kumbatiza kila mwanafunzi na kumpa jina la kikoloni kitu ambacho waislamu wengi wenye akili wakalikataa hilo sharti la kipuuzi.Mimi si muhenga ila huwa napenda kujua na kudadisi mambo. Ningependa kujua mfumo gani uliwabana kama waliweza kujenga skuli na kuwekeza katika Elimu ya kiarabu na kuacha elimu dunia ambayo ingewapa ujuzi mbalimbali.
Chachu Ombara,
Naam Qur'an kwetu sisi ndicho bora zaidi lakini wazee wetu hawakupuuza
elimu ya sekula na ndiyo maana umeona wakajenga shule.
Baada ya uhuru 1961, mwaka wa 1962 Waislam walifanya mkutano wa
kwanza, Muslim Congress na wakaweka azimio la kujenga shule na chuo
kikuu.
Hii ni historia ya pekee katika historia ya Waislam wa Tanganyika na kwa
urefu kabisa nimeeleza yaliyotokea kati ya serikali na uongozi wa Waislam
chini ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ilipodhihirika kuwa
kwa mipango hiyo Waislam watajinasua katika mtego wa elimu uliokuwa
umetegwa na wakoloni wakishirikiana na wamishionari.
Hiki ni kisa maalum kipo katika kitabu cha Abdul Sykes.
Kodi za waislam zilikusanywa na mkoloni na wakapewa wamisionari waendeshe shule Tanganyika, Mkoloni akaweka sharti la kumbatiza kila mwanafunzi na kumpa jina la kikoloni kitu ambacho waislamu wengi wenye akili wakalikataa hilo sharti la kipuuzi.
Mwarabu hajaitawala Tanganyika hata siku moja. Angeiitawala maendeleo yangekuwa juu sana. Huwezi kufananusha maendeleo ya waarabu na haya ya Afrika ingawa unasema hawakusoma kikoloni.Kabla ya mkoloni kuja alikuwepo mwarabu, yeye kodi alifanyia nini? Kuna waislam wengi wamesoma shule za wamisionari ila hawakubadilishwa dini wala kubatizwa, hizo sababu naona hazina mashiko.
Chachu Ombara,Mimi si muhenga ila huwa napenda kujua na kudadisi mambo. Ningependa kujua mfumo gani uliwabana kama waliweza kujenga skuli na kuwekeza katika Elimu ya kiarabu na kuacha elimu dunia ambayo ingewapa ujuzi mbalimbali.
Chachu Ombara,Kabla ya mkoloni kuja alikuwepo mwarabu, yeye kodi alifanyia nini? Kuna waislam wengi wamesoma shule za wamisionari ila hawakubadilishwa dini wala kubatizwa, hizo sababu naona hazina mashiko.
NAAM MOHAMED SAID..... HIVI KWA NINI WAMISHONARI WALIWAFANYIA ROHO MBAYA WAISLAM KTK ELIMI ILHALI WAO ZAMA ZA ULAYA KTK UJINGA WAKIELIMISHWA NA WAISLAM BILA UBAGUZI???Bhachu,
Mie nakusihi tujadili hii mada ya Ismailia huko unakokwenda si mada yetu.
La unataka tujadili hilo bora ufungue uzi mpya.
Katununu,NAAM MOHAMED SAID..... HIVI KWA NINI WAMISHONARI WALIWAFANYIA ROHO MBAYA WAISLAM KTK ELIMI ILHALI WAO ZAMA ZA ULAYA KTK UJINGA WAKIELIMISHWA NA WAISLAM BILA UBAGUZI???
KWA NINI?
KWA HIYO NAWEZA KUWA SAWA NIKIDHANI KUWA MPAKA TUNAPATA UHURU MKAKATI WA UKRISTO KATIKA AFRIKA ILIKUWA SIO CO EXISTENCE NA UISLAM BALI ELIMINATION(KWA KUSHIRIKIANA NA AKINA NYERERE) , YAANI KUUTOKOMEZA UISLAM SI TU AFRIKA MASHARIKI BALI DUNIA NZIMA????Katununu,
WalikuWa na hofu kubwa na Uislam
Mjenzi wa shule ya Tanga ilikuwa serikali ya kikoloni ya Kijerumani mnamo mwaka 1892. Sababu haikuwa mahitaji ya wenyeji wa Tanga lakini mahitaji ya serikali ya koloni kupata wazalendo walioandaliwa kufanya kazi ya mafundi, makarani na walimu kwenye shule (chache) za vijijini. Shule hii ilianzishwa na serikali ya Wajerumani kwa sababu kwa upande moja walikuwa wakati mwingine na mashaka kuhusu shule za wamisionari na kwa upande mwingine katika miaka ya kwanza ya koloni walitegemea zaidi watumishi kutoka pwani kwa kujenga utumishi wa serikali yao na hapa waliona ya kwamba Waislamu wa Pwani waliogopa kupeleka watoto katika shule za misioni (na sehemu ya shule hizi ilipokeas watoto wa Wakristo pekee). Kutegemea watu wa pwani ilikuwa pia sababu ya kwamba Wajerumani waliamua kufanya Kiswahili kuwa lugha rasmi katika koloni yao ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (DOA).Sio kweli,shule ya kwanza ya secondary,Tanganyika ilijengwa Tanga,na mpaka le ipo katikati ya jiji la Tanga,inaitwa Old Tanga Secondary School,ni shule ambayo ina maendeleo mazuri kabisa,na ni shule ambayo mpaka leo iko katika hali yake ya ujenzi wa kihistoria.Na vile vile shule ya kwanza ya secondary kujengwa baada ya Uhuru,ni Tanga School,shule hii ipo mpaka leo.Shule hizi ndio za kwanza,na ziko katika mji uliokuwa na waislamu wengi.
Hizi shule ,kuna mchango mkubwa wa wazee wa kiislamu,wakiwemo waarabu na waafrika.
Kipala,View attachment 712040
Mjenzi wa shule ya Tanga ilikuwa serikali ya kikoloni ya Kijerumani mnamo mwaka 1892. Sababu haikuwa mahitaji ya wenyeji wa Tanga lakini mahitaji ya serikali ya koloni kupata wazalendo walioandaliwa kufanya kazi ya mafundi, makarani na walimu kwenye shule (chache) za vijijini. Shule hii ilianzishwa na serikali ya Wajerumani kwa sababu kwa upande moja walikuwa wakati mwingine na mashaka kuhusu shule za wamisionari na kwa upande mwingine katika miaka ya kwanza ya koloni walitegemea zaidi watumishi kutoka pwani kwa kujenga utumishi wa serikali yao na hapa waliona ya kwamba Waislamu wa Pwani waliogopa kupeleka watoto katika shule za misioni (na sehemu ya shule hizi ilipokeas watoto wa Wakristo pekee). Kutegemea watu wa pwani ilikuwa pia sababu ya kwamba Wajerumani waliamua kufanya Kiswahili kuwa lugha rasmi katika koloni yao ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani (DOA).
Hapa picha ya shule ya Tanga mnamo mwaka 1910