Kiongozi yupi wa CCM akisema utaamini kasema UKWELI?

Namuamini Edward Sokoine kama akiweza kutoka kaburini na kutoa tamko, nitajua kasema kweli!
 
Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Mimi nita mwamini tu,siku mzee wagombe akaniambia kwa mdomo wake kuwa katokea Gombe!Wengine wote sitawaamini kamwe asilani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…