Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
Safir uende uko marekani ukaisikilizie hukoKwa net mbona unaisikiliza mkuu
Tatizo unaleta ushabk hv unawajua wamarekan au unakurupuka hata kwa dawa labda uende ww huko marekan ukaisikilizie kwa ukoAfrika tutaendelea hatutakaa tuendelee pale mwenzetu anapotusua wanga kama nyie hamkosekani.
Ujinga kabisa.
Huu ni wimbo uchafu?Cheki hapa huo wimbo unaitwa i will mary you
50 anafanya mziki aina gani mkuu?Yani tatizo vijana hawa hawaelewi hebu watonyee, maana kutokuelewa vitu ndiyo yanapelekea haya... Kule Marekani kuna underground wengi sana ambao ni wakali kufa lakini ni ngumu kwao nyimbo yao kuchezwa na wanatafuta airtime atleast nyimbo ichezwe bado hawapati na wana hustle sana, mfano mzuri ni 50 cent mpaka ametoka kimuziki ametumia jitihada nyingi sana angalia documentary yake 50 cent
Nimezungumzia wapi wamarekaniTatizo unaleta ushabk hv unawajua wamarekan au unakurupuka hata kwa dawa labda uende ww huko marekan ukaisikilizie kwa uko
Toxic9 sio kwamba sijui lakini kwenye ukweli tunaongea nyimbo kupigwa mbele inategemea una mashabiki kiasi gani huko! Sasa Diamond tayari kupitia hiyo nyimbo atakuwa na uwanja mkubwa wa kujizolea mashabiki marekaniAhsante sana, na ndicho nilichokisema, Mfundishe danya maana naona ana ushabiki kuliko kuelewa...
Hahaha huu wimbo utafanya vyura wote warudi matopeni ni moja kati ya nyimbo bora za diamond alizowahi imbaNyimbo ya msanii wa Afrika akimshirikisha msanii wa marekani, benefit ataipata endapo management ya huyo msanii itaruhusu wimbo kupigwa kwenye media zao na kumpa promo...
Mwaka jana Davido alipotoa wimbo na meekmill hili lilishindikana, hata kupewa S/O na Meekmill baada ya wimbo kutoka hakupewa kutokana na uongoziwake ulivyo the same to Psquare walivyomshirikisha Rick Ross..
Kwahiyo kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa wimbo wa Diamond kunategemea na makubaliano na management ya Neyo imeridhia kuwa itaruhusu wimbo kupigwa na kutoa support??? Kutokana na hili, diamond alisema Neyo karidhia..
Mzigo wenyewe unatoka wiki ijayo, ambapo pia anaenda USA kwa ajili ya show zake.. Majibu yatakuja hapa, WALE MAHASIMU WA KUJIPIGA CHALE NA MATAMBIKO WAJIANDAE KUTUMBULIWA
SijakuelewaGoodluck Mchika nilikuwa nakukwot technology inasumbua kdg
USA baby!!!Wamarekani wataipiga sana hiyo ngoma kwenye redio zao?
Wamarekani unawajua unawasikia...?
Ni bonge ya nyimbo, nakubaliana na nyie!Mkuu jana waliamua kuimba demo ya huu wimbo kuwashtua mashabiki kidogo, hii nyimbo ukiisikilza iliyokamilika utakubaliana na mimi diamond ni level nyingine
Mkuu kupigwa unaweza kupigwa inategemea kajipangaje yeye kama yeye na menejimenti yake kwenye masuala ya utaratibu.
Nimesikiliza hicho kipande chauo wimbo kwa kweli naweza sema ni wimbo bora kabisa wa Diamond tangia afanye Number One. Hiyo beat sio ya kawaida kama mmesikiliza kwa makini, ukijumlisha na verse ya Neyo na jinsi Diamond alivyochombeza naiona balaa kubwa sana inakuja kutetemesha Africa. Binafsi nilianza kukata tamaa na huyu bwn mdogo ila amenirudishia matumaini makubwa.
USA baby!!!
kudadeki...ngoma tamuCheki hapa huo wimbo unaitwa i will mary you
***Huyu Diamond huyu ni mnoma sana