(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

Afrika tutaendelea hatutakaa tuendelee pale mwenzetu anapotusua wanga kama nyie hamkosekani.
Ujinga kabisa.
Tatizo unaleta ushabk hv unawajua wamarekan au unakurupuka hata kwa dawa labda uende ww huko marekan ukaisikilizie kwa uko
 
Mkuu kupigwa unaweza kupigwa inategemea kajipangaje yeye kama yeye na menejimenti yake kwenye masuala ya utaratibu.
Nimesikiliza hicho kipande chauo wimbo kwa kweli naweza sema ni wimbo bora kabisa wa Diamond tangia afanye Number One. Hiyo beat sio ya kawaida kama mmesikiliza kwa makini, ukijumlisha na verse ya Neyo na jinsi Diamond alivyochombeza naiona balaa kubwa sana inakuja kutetemesha Africa. Binafsi nilianza kukata tamaa na huyu bwn mdogo ila amenirudishia matumaini makubwa.
 
Yani tatizo vijana hawa hawaelewi hebu watonyee, maana kutokuelewa vitu ndiyo yanapelekea haya... Kule Marekani kuna underground wengi sana ambao ni wakali kufa lakini ni ngumu kwao nyimbo yao kuchezwa na wanatafuta airtime atleast nyimbo ichezwe bado hawapati na wana hustle sana, mfano mzuri ni 50 cent mpaka ametoka kimuziki ametumia jitihada nyingi sana angalia documentary yake 50 cent
50 anafanya mziki aina gani mkuu?
 
Ahsante sana, na ndicho nilichokisema, Mfundishe danya maana naona ana ushabiki kuliko kuelewa...
Toxic9 sio kwamba sijui lakini kwenye ukweli tunaongea nyimbo kupigwa mbele inategemea una mashabiki kiasi gani huko! Sasa Diamond tayari kupitia hiyo nyimbo atakuwa na uwanja mkubwa wa kujizolea mashabiki marekani
 
Nyimbo ya msanii wa Afrika akimshirikisha msanii wa marekani, benefit ataipata endapo management ya huyo msanii itaruhusu wimbo kupigwa kwenye media zao na kumpa promo...

Mwaka jana Davido alipotoa wimbo na meekmill hili lilishindikana, hata kupewa S/O na Meekmill baada ya wimbo kutoka hakupewa kutokana na uongoziwake ulivyo the same to Psquare walivyomshirikisha Rick Ross..

Kwahiyo kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa wimbo wa Diamond kunategemea na makubaliano na management ya Neyo imeridhia kuwa itaruhusu wimbo kupigwa na kutoa support??? Kutokana na hili, diamond alisema Neyo karidhia..

Mzigo wenyewe unatoka wiki ijayo, ambapo pia anaenda USA kwa ajili ya show zake.. Majibu yatakuja hapa, WALE MAHASIMU WA KUJIPIGA CHALE NA MATAMBIKO WAJIANDAE KUTUMBULIWA
 
Hahaha huu wimbo utafanya vyura wote warudi matopeni ni moja kati ya nyimbo bora za diamond alizowahi imba
 
Video inatoka lini, maana kizazi cha sasa bila video hujauza.!
 
Mkuu kupigwa unaweza kupigwa inategemea kajipangaje yeye kama yeye na menejimenti yake kwenye masuala ya utaratibu.
Nimesikiliza hicho kipande chauo wimbo kwa kweli naweza sema ni wimbo bora kabisa wa Diamond tangia afanye Number One. Hiyo beat sio ya kawaida kama mmesikiliza kwa makini, ukijumlisha na verse ya Neyo na jinsi Diamond alivyochombeza naiona balaa kubwa sana inakuja kutetemesha Africa. Binafsi nilianza kukata tamaa na huyu bwn mdogo ila amenirudishia matumaini makubwa.

Hebu nitajie urban radio stations 5 tu kwenye miji mikubwa ya NY, ATL, CHICAGO, HOUSTON, Miami, na DC ambako huo wimbo utapigwa.....
 
USA baby!!!

U already know....

Greatest country on the face of the earth. God's gift to the world.

But for the USA your black azz wouldn't be on these forums shitting all over the place.
 
Back
Top Bottom