mbona mimi nauna wa kawaida tu ?Ni bonge ya nyimbo, nakubaliana na nyie!
Eti radio stations zao zipi?Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
ahaa wapi, mbona nyimbo za mori kante( yekeyeke) , mpongolove( ndaya) na seven seconds ( yossou ndour na neneh cherry , walizipiga sana tu ?, sema mimi hii nyimbo mi naiona ya kawaida tu, labda kama nitaisikiliza tenawamarekani wana bidhaa aina mbili, za kwao na za wengine..... Sijui kama wataichukua hii kama bidhaa yao
jamani jamani hamjamaliza hii mada au
ngoja ni skieKwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
wanazipiga station gani??ahaa wapi, mbona nyimbo za mori kante( yekeyeke) , mpongolove( ndaya) na seven seconds ( yossou ndour na neneh cherry , walizipiga sana tu ?, sema mimi hii nyimbo mi naiona ya kawaida tu, labda kama nitaisikiliza tena
kwahiyo wewe ndio kifesi....Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Ulisikiliza stations zote za USA ukaona haijapigwaa???wanazipiga station gani??
We had R Kelly na waafrika a few year ago, uliisikia wapi?
Mkuu kuna nyimbo zao na nyimbo "nyingine"... this falls into other categories... do you remember "Odjuelegba??" Whizkid, Drake na swizzbeat?? the best song lakini wapi umeisikia in the US?
kitu inabamba europe
stop being funny....there are more than 500 stations in the US, wewe umesikia station gani?Ulisikiliza stations zote za USA ukaona haijapigwaa???
Ndo nakuuliza wewe ambae unasema haijapigwastop being funny....there are more than 500 stations in the US, wewe umesikia station gani?
haijapigwa kifesi.... in the past 6 years hakuna nyimbo ya kante wa nd'our imetwangwa in major cities labda zile redio zetu za dayaspora za online ambazo zipo kama lakiNdo nakuuliza wewe ambae unasema haijapigwa
Nyimbo ya p.square rick ross ndo aliwabania aligoma ku sign na lile litumbo lake roho yke mbaya tu mbona drake hajambania wiz kidPsqure waliimba na rick Ross kwa sharti ispigwe marekani hahahahah yaaani alietusua ni mmoja tu wizkid Basi alioshirikishwa na Drake pini lao one dance basi
haijapigwa kifesi.... in the past 6 years hakuna nyimbo ya kante wa nd'our imetwangwa in major cities labda zile redio zetu za dayaspora za online ambazo zipo kama laki
ipo inanesanesa... shida ya MTV ina vi subsidiaries kama lakiMkuu hivi MTV channel bado ipo?