Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Kuna watu wanachuki Kali, ila tambueni nyingi sio Mungu,Mungu ndo anaweza kumzuia mtu asifanikiwe sio maneno yenu ya nyuma ya keyboard, mnaudhi sana wabongo,mna chuki za kitoto mwenzenu anafanikiwa kwa kujituma lakini nyie kazi yenu ni kutukana na kuponda kila anachofanya,...ndo maana hii nchi haiendelei...kuna watu wa ajabu sana