donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Nini nyimbo za matangazo, yule jamaa anaweza kukamua hata kwa biti ya adhanaDiamond ni hatari sana.
Anakamua hadi kwenye nyimbo za matangazo. Hapo ndo anaponichoshaga.
Mwana anaishi nje ya dunia. Mkaushie tukafulia kivip mkuu? mbona anafanya mambo tuu na kashirikishwa nyimbo kibao
ndo vivo hivyo hadithi ya #jikeshupa inavoZidi hadithi ya #Aje by ur king. Halafu we dogo ebu subiri iyo ngoma itoke ndo utapokuja kujua kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha. swKweli nyumbu hawatakuja kuisha, huo ni wimbo uchafu? Hadithi ya nuh mziwanda inazidi huu wimbo kwa uzuri, inshort Diamond ajiandae kupambane na raymond sababu kimziki kashakwisha yupo tu anahemea kick na promo za kipuuzi kama hizi
Anamaanisha Wamarekani wabeba mabox.[emoji16][emoji16]Wamarekani wataipiga sana hiyo ngoma kwenye redio zao?
Wamarekani unawajua unawasikia...?
Wamarekani wataipiga sana ile nyimbo.Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
swali zuri mkuuNdo nakuuliza wewe ambae unasema haijapigwa
Anamaanisha Wamarekani wabeba mabox.[emoji16][emoji16]
Team kiba bhanahNeyo mwenyewe kashafulia sasa hiyo nyimbo itapigwaje huko kwenye viunga vya Marekani?
Hii hapana,huwa hakosei ati
Formerly wala vumbi.....
Kuna wachawi nawaona hapa nakumbuka miaka mitatu nyuma walitabiri 'anguko' la Diamond lingekuja soon hahahahah sijui baada ya miaka yote hiyo wanajisikiaje. Vingereza vingi maisha yanawapiga tu huko.nakemea roho zote za kichawi kwenye huu uzi.
Mkuu vipi kuna radio station yoyote in the A ambayo imepiga huu mziki?