(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

Media wanatizama soko linataka nini wewe angalia tu CNN iko for USA na iko internation au Aljazeera English na Arabic hawaoneshi vipaumbele sawa. Mfano Jazeera eng hawatoi picha za maiti wazi lakin Arab kila kitu wazi sababu wanachotaka watu tofauti. Sasa kuna baadhi ya style ya muziki ukiona wazungu wanafurahia utasema ngoma gani hizi lakini ndio zao. Africa kuna good songs zimeimbwa yaani hit songs lakini ni kwetu kwao hazina soko. Wale wenzetu hawajui hata Tanzania ni nini na iko wapi hawana habari kabisa wao na mambo yao tu. Huu ni ukweli.
 
Kweli nyumbu hawatakuja kuisha, huo ni wimbo uchafu? Hadithi ya nuh mziwanda inazidi huu wimbo kwa uzuri, inshort Diamond ajiandae kupambane na raymond sababu kimziki kashakwisha yupo tu anahemea kick na promo za kipuuzi kama hizi
 
Kweli nyumbu hawatakuja kuisha, huo ni wimbo uchafu? Hadithi ya nuh mziwanda inazidi huu wimbo kwa uzuri, inshort Diamond ajiandae kupambane na raymond sababu kimziki kashakwisha yupo tu anahemea kick na promo za kipuuzi kama hizi
ndo vivo hivyo hadithi ya #jikeshupa inavoZidi hadithi ya #Aje by ur king. Halafu we dogo ebu subiri iyo ngoma itoke ndo utapokuja kujua kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha. sw
 
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Wamarekani wataipiga sana ile nyimbo.
Haaa haaa... mkuu naona haujawaelewa wale watu. Hiyo inaweza isichezwe hata mara moja kwenye radio stations zao. Wana watu wao wanaowazimia na neyo kwa sasa sio wa hiiivyo.
 
Hivi P Square na collabo zao na WaMarekani waliishia wapi tena!? Kujihangaisha na collabo na waMarekani ni kupoteza muda tu.
 
Mkuu vipi kuna radio station yoyote in the A ambayo imepiga huu mziki?

Not V103.....not HOT107.9 ....not STREETZ 96....not 102.5....and not even KISS 104.1

Labda Country radio stations.....of which I seriously doubt.
 
Back
Top Bottom