Kionjo video: CCM wataondoka kama alivyoondoka firauni

Kionjo video: CCM wataondoka kama alivyoondoka firauni

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
"Achukuchaaa achochaaa, achukuchaaa achochaaa!!!!"Tulieni tulieni tulieni , kunaa mengiiiiiiiii

 
of course hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho na ccm ina mwisho wake, ila huo mwisho kwa kweli sio kesho wala kesho kutwa CCM bado ipo sana. Wanasema Roma haikuanguka kwa siku moja, ndio CCM sasa, ina mwisho ila mwisho wake hauwezi kuwa wa ghafla tu, lazima uwe mwisho wenye mashiko ya kihistoria, chama kama CCM kitapoteaje kwa komenti za mitandaoni, kama kitaondoka ni kwa mambo ambayo yatakuwa yanasisimua kusimulia kihistoria
 
Back
Top Bottom