Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
379
Reaction score
1,082
Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia mashine inaunguruma ukiweka chaji n.k
 
Kuna uzi wa ubovu wa Google pixel humu
 
Andaa 180 kavu
 
Nisaidie mkuu kujua og na fake. Au kama Kuna mtu anauza niunganishe nae
Simu za Google pixel ni og tena kutoka nje ,vioo vyake ni quality kama ukiangalia tu na simu kama Tecno utaona tofauti...Vioo vyake og vina ile hali ya ukijani kwa mbali kama Samsung .

Ukipewa kioo uangavu unafanana na Tecno basi hamna kitu ,wengine wanaongeza mwanga mpaka mwisho wanakuambia hiki fake au og .
 
Sawa mkuu
 
Kuna baadhi ya simu mbovu ukipunguza mwanga kioo kinazima, hivyo tumia hisia cheza nayo sehemu ya kuongezea mwanga uwe kama unaiongeza huenda ikawaka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…