ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 358
- 575
πππ Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!Mkuu natamani kukuamini
Shida ni kwamba issu za uchawi hua siamini kabisa
π€π€πHello jamii intelligence π
Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an
Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:
Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi
Uchawi umetajwa pia kwenye Qurβan, hasa Al-Baqarah 2:102 ambapo inazungumzia habari ya uchawi na watu kujifunza mambo hayo
Huu nao ni ushahidi Qur'an inatambua habari za uchawi
kwa mantiki hii dhana ya uchawi ni ya kale sana
Huku Africa watu bado wamekumbatia hii imani sana, sijui huko Ulaya ikoje
Utasikia mtu anasema...
- ShesRise_1
- saikolojia uchawi uchawi upo?
- Replies: 725
- Forum: Jamii Intelligence
Kuna huo uzi hapo ukipata nafasi upitie
Mkuu nimeshaandika visa vingi sana kwenye huo uzi wa ShesRise_1 , uchawi ni nadharia lakini ushahidi wa moja kwa moja ndio hakuna.πππ Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!
Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.
π€π€π
Ooh basi anajishtukia tuSiwezi kumnyanyasa mwanamke niliyemchagua mwenyewe kwamba ndiye bora kuliko wengine mkuu.
Sema ikitokea sintofahamu za hapa na pale basi yeye hukimbilia maneno hayo wakati mimi sina maana hiyo hata kidogo.
Shukran sana mkuuNi physics hiyo, sijui nikuelezeaje kwa kiswahili
Ila unachokiona ni reflection ya mwanga uliokumulika wewe kisha ukatua kwenye plane mirror, so basically kioo kina copy nakupaste muonekano wako kama ulivyo.
Ila kuna aina za vioo,
concave mirror, convex mirror ( hivi hu alter the size and height of object)
na plane mirror ( hiki huonesha object kama ilivyo in terms of height and size)
Mimi sio wa ki shua hata kidogoπππ Mkuu wewe wa kishua au hujaishi na watu wengi. Not an insult please!
Binafsi naamini UCHAWI upo na mwingine nimeshuhudia kwa macho yangu ila siamini kwamba mchawi anaweza kunitesa/kuninyanyasa kwa namna yoyote ile.
π€π€π
Kwakweli visa vyako ni chai tupu π πMkuu nimeshaandika visa vingi sana kwenye huo uzi wa ShesRise_1 , uchawi ni nadharia lakini ushahidi wa moja kwa moja ndio hakuna.
Visa vyangu mpaka akawa ananiambia ni chai eti, mkorofi huyu π
Lakini unasadiki kwamba hizi mambo zipo ?πIla kwangu uchawi unabaki kua theory tu !
Mkuu tungekua tunarekodi haya matukio isingekua nadharia, sema ndio hivyo matukio hutokea gafla.Mkuu nimeshaandika visa vingi sana kwenye huo uzi wa ShesRise_1 , uchawi ni nadharia lakini ushahidi wa moja kwa moja ndio hakuna.
Mkuu hawezi kuelewa hivyo vituπππVisa vyangu mpaka akawa ananiambia ni chai eti, mkorofi huyu π
Mirror πͺ
Hello Great thinkers π
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza π
Huna kazi?: me nina kazi βοΈ
Unalipwa?: Silipwi βοΈ
NB:Writing is one of my hobbies βοΈπ§
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika
Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili
Kwenye mada π
Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.
Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.
Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo
So historia ya kioo ipo hivyo...
Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu
Chemsha Bongo: π€
π
Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?
Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?
Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?
Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?
Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisaπ
Hii imekaaja au ni wenge ?
Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?
Na mwisho...
Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? π
Meπ
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe π€π€
ShesRise_1 βοΈ
Sawa mkuu, Ila kuna kijana wangu hapa anaweza kuufanya practically.Mimi sio wa ki shua hata kidogo
Nimezaliwa kijijini ndani ndani huko
Ila kwangu uchawi unabaki kua theory tu !
NIMEKATAA!Lakini unasadiki kwamba hizi mambo zipo ?π
Mi mwenyewe ndio kwanza nakuona leo mkuuπMbona mi ndo naona leo bandiko lako huwa mengine unaandikia wapi mpaka huyo jamaa akakuuliza hivyo? Au anakutaka tu?
Hakuna kitu kama hichoSawa mkuu, Ila kuna kijana wangu hapa anaweza kuufanya practically.
Ni huwezi kuniona kma haupo active. Aliyekuambia hivyo jua tu ni mbinu zetu wanaume tunapomtaka demu. Anaweza kwambia anything ili akupate akutafune uwe makini na sisi wanaumeMi mwenyewe ndio kwanza nakuona leo mkuuπ
Hakuna kitu kama hicho
Nitapoteza muda wangu tu
Binti ondoa shaka kabisa, hakuna tatizo lolote kwenye hilo, hiyo inaitwa visual spatial enhancement na inasaidia sana kuleta utulivu wa akili.Na tunaopenda kioo kupitiliza mmesema tuna matatizo gani vile? Genuine question.
Mi nimefunga kioo kikubwa usawa wa kitanda, nilikuwa naongea na mtu βmpyaβ nikamwambia nipo najiangalia kwenye kioo, akajibu nitakusaidia upunguze kupenda kioo, i was like what? unisaidie kwani ni tatizo? Akapotezea hiyo mada
Afadhali maana alinitisha ππBinti ondoa shaka kabisa, hakuna tatizo lolote kwenye hilo, hiyo inaitwa visual spatial enhancement na inasaidia sana kuleta utulivu wa akili.
HayaNi huwezi kuniona kma haupo active. Aliyekuambia hivyo jua tu ni mbinu zetu wanaume tunapomtaka demu. Anaweza kwambia anything ili akupate akutafune uwe makini na sisi wanaume
Sawa π sitogusa tena ule uziNIMEKATAA!