Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Unayemuona kwenye kioo ni ww kwa asilimia kadhaa ila sio 100 kutegemea na mwanga ktk eneo hilo na kwa sababu hujioni 360.
 
Kioo cha kutunisha misuli πŸ˜…πŸ˜…
 
Chai πŸ˜…
 

Mkiwa mnaongelea mambo ya vioo msisahau kuna hii kazi njema ya kisanaa ya 2010 kutoka pale Hollywood kijijini ..
Kisa cha hii filamu ni mzimu wa mrembo mmoja ulioko kwenye kioo ambao ulikuwa unawaua victim wake selected kila wakijiangalia kwenye kioo...😎😎🫡

NB: Hii movie niliipenda pale madam mmoja yuko bafuni anajinyoa mavuzi na ile razor🀩🀩😍☺️.. Sasa bahati mbaya akajikata kidogo ... Sasa katika zile harakati za kutafuta taulo ajifute damu kidogo sehemu aliyojikata akateleza mle bafuni akaanguka ....😜😜😜 Kile kioo cha bafuni kikaanguka kila mkata shingo biashara yake ikaisha hivyo..
 
Nje ya mada; wewe kuandika sana ni hobby yako, sioni wewe kuwa na excuse kwenye hilo. Zamani enzi za kuandikiana barua na marafiki "pen pal", tulikuwa tunajieleza kuhusu hobbies, kuandika, kusoma, kusikiliza muziki, kuogelea n.k,

Ni hobbies za watu, na hawawezi kuwa na excuse juu ya hobbies zao. Wewe andika, asiependa maandishi yako hatosoma au atascan tuu. Usijisikie vibaya kwa kitu ambacho kinakupa furaha madam huvunji sheria yeyote.
 
Me mwenyewe napenda kujiangalia kwenye kioo jamani haswa nikitoka kuoga πŸ™‚.....ila ikifika usiku muda wa kulala sijawahi sahau kukifunika na khanga naogopa haswa
 
Aisee hii kali sana
Inaonekana inatisha sana
 
Busara za mtu wa makamo hizi 🫑
 
Me mwenyewe napenda kujiangalia kwenye kioo jamani haswa nikitoka kuoga πŸ™‚.....ila ikifika usiku muda wa kulala sijawahi sahau kukifunika na khanga naogopa haswa
Unaogopa nini dear
Mpaka unakifunika na kanga ?

Mimi nalala kwenye chumba chenye kioo bila shida kabisa
 
Reactions: ABJ
Unaogopa nini dear
Mpaka unakifunika na kanga ?

Mimi nalala kwenye chumba chenye kioo bila shida kabisa
😁😁Niliambiwa ukijitazama usiku unaweza ona sura ingine na siyo mara 1 kuambiwa hivyo kwahiyo sitaki kabisa ....

Hahah hongera mwaya mi siwezi πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…