ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
Umeambiwa then umekubali bila ushahidi π πππNiliambiwa ukijitazama usiku unaweza ona sura ingine na siyo mara 1 kuambiwa hivyo kwahiyo sitaki kabisa ....
ahah hongera mwaya mi siwezi π€
Hmmhh acha tu sitaki ushahidi maana naweza nizimie asiwepo wa kunipepeaπUmeambiwa then umekubali bila ushahidi π π
Lakini kwa sababu umeambiwa na ukaamini si ajabu ukijiangalia utaona kama sura inatisha kumbe wewe mwenyewe hiyo picha umeitengeneza kwenye akili yako ume paste kwenye kioo πππ
Ondoa hofu kipenziHmmhh acha tu sitaki ushahidi maana naweza nizimie asiwepo wa kunipepeaπ
Ndio nini hiyo samba mapangalaπKioo kinafanya nijione samba mapangala
πππHmhh....uwii labda ntajaribu kesho Leo Sina huo ujasiri mamiiOndoa hofu kipenzi
Acha kutoa taarifa za hofu kwenye ubongo wako π
Ubongo utapokea ulichopewa
Na utakutengezea mapichapicha utazima kweliπ€£π€£
Leo simama mbele ya kioo bila hofu hakuna kitu utaona zaidi ya taswira yako uliyoizoea
Sawa maa mrejesho muhimu sanaπππHmhh....uwii labda ntajaribu kesho Leo Sina huo ujasiri mamii
Ni muimbaji wa nyimbo zilizopendwaNdio nini hiyo samba mapangalaπ
Hujawahi kutulia kabisa π€£π€£Ni muimbaji wa nyimbo zilizopendwa
Dunia tunapita eeh kila kitu kitabaakia binadamu ni mchanga,,
Ila nikipita mbele ya mirrro lazima ni simame kucheki nywele zipo sawa π
Hahahaha kutulia mpk nizeeke msee ππHujawahi kutulia kabisa π€£π€£
Unakiamini kio chako kwa asilimia 100 ?Kwenye wimbo wa Diamond Platnumz Salome wangu kuna verse inasema.
Kioo hakidanganyi mama.
Utazeeka vibaya π€£Hahahaha kutulia mpk nizeeke msee ππ
ππ Ulishawah tabasamu mbele ya mirrroUtazeeka vibaya π€£
Yeahππ Ulishawah tabasamu mbele ya mirrro
Kukiamini kwenye nini?Unakiamini kio chako kwa asilimia 100 ?
Taswira unayoiona kwenye kioo unaamini upo hivyo kwa asilimia 100?Kukiamini kwenye nini?
Ulipata hisia ganYeah