Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kitu inataka kufanana na lasagna au ndio yenyew kwa kizungu?
Mimi naufahamu kwa jina hili..Subiri farkhina aje atuambie yawezekana anaufahamu kwa jina lengine
Mie najua jina jengine inaitwa kunafa in arabic kiengereza sijui inaitwaje kuna ya hiyo uloonesha na ipo ya rice....
Mkuu hii kitu inataka kufanana na lasagna au ndio yenyew kwa kizungu?
Sio lasagna kaka jerry kimuonekana vyafanana ila ni tofauti...
farkhina Tuekee hio ya rice mamii tujionee mambo mazur
Sawa sawa
Mimi nimetumia hizi...lkn zozote zinazofanana na hizi unaweza tumia dear
Naweza tumia zile ndogondogo za pasta??
Wow!! Ahsante sana Mrs Kharusy hii imenivutia kweli I have to try do it
Jamani kiota cha ndege kitam mpk uchogoni.
Mi nishakionja ichoicho kiloekewa picha hapa.
Mrs Kharusy hii ni katika dessert sio?
umenichekesha weye...hujambo lakini?Mkuu hii kitu inataka kufanana na lasagna au ndio yenyew kwa kizungu?