Kaangalie video clips zaoHii survey sio ya kiufundi. Kuna mtu hapa amewahi kuwaona wote toka klabu ianzishwe?
Mimi sijawahi, nimeanza na era ya Moses Mkandawile na kuendelea, hivyo siwezi na sitaki ku comment kuhusu kina Mambosasa na Mahadhi.
...Omar Mahadhi 'Bin Jabir' ni huyo wa pili kulia!...mnyama mkali miaka hiyo, mnamuona Moh'd Bakari 'Tall', Abdallah 'King' Kibaden, Abdallah Mwinyimkuu, Adam Sabu, Abubakar Salum 'Bruce Lee,' etc...
Wapi?Kaangalie video clips zao
Mpigie simu Rage na muulize atakupatia clips zote unazohitajiWapi?
Mkubwa, Simba imeanzishwa mwaka 1936, nikaangalie video clip za Simba toka mwaka 1936 ziko wapi? Hii survey haijaenda shule kwa sababu watu wanaongea kama vile walikuwepo mwaka 1936. Katika makipa wa Simba uliowahi kuwaona, ni yupi unaeona mkali zaidi, hapo tungeelewana.
"Bruce Lee" ni jina alilopewa Daud Salum sio Abubakar Salum. Abubakar Salum ni "SureBoy"...Omar Mahadhi 'Bin Jabir' ni huyo wa pili kulia!...mnyama mkali miaka hiyo, mnamuona Moh'd Bakari 'Tall', Abdallah 'King' Kibaden, Abdallah Mwinyimkuu, Adam Sabu, Abubakar Salum 'Bruce Lee,' etc...