fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
wazee wa kudamshi hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yamedamshiwazee wa kudamshi hahahahaView attachment 868906
aaaah shehe kudamshi tena???Maelezo yamedamshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi hata sijaelewa chochote...
Subiria wanaume wa Dar watakuja kukujibuMimi tatizo lipo pale pale "Kudamshi" maana yake nini??????
Kudamshi ni kama kutokelezeaMimi tatizo lipo pale pale "Kudamshi" maana yake nini??????
Huwa nasikia kichefuchefu sana haya maneno yakitumiwa na "dume". Pia kuna MSCHEWWW!Kudamshi
Jomoni
Kwemaa
Halohalooo
Nahukuuuu
Maneno haya yananyong'onyesha sana
Sijuwi wanafikiria niniHuwa nasikia kichefuchefu sana haya maneno yakitumiwa na "dume". Pia kuna MSCHEWWW!
Hilo neni maana yake ndio nini? Wemgine tumejaa testosterones maneno mengine yanajichuja yenyewe.naona umedamshi kwelikweli
Sasa unakuta janaume limevaa jinsi inabana alafu linakwambia hivyo. Unatamani ulitemee mate.Kudamshi limekaa kidada sana
Labda kipa katokaSasa unakuta janaume limevaa jinsi inabana alafu linakwambia hivyo. Unatamani ulitemee mate.
Duh, Na hili pia maana yake nini? Haya maneno yenu kwa kweli wawaachie nyie.Labda kipa katoka
Hili neno lina maana gani?aaaah shehe kudamshi tena???