Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
lazima utakuwa unasemea yanga we..!goli lipo wazi mkuu hata beki anafunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lazima utakuwa unasemea yanga we..!goli lipo wazi mkuu hata beki anafunga
kupitia rejea ya moja ya wafanyakazi wenzangu wa jinsia "ke" neno damshi maana yake ni kupendeza kwa (mdangaji) kwa lengo la kumpa matamanio kingono anayekutazama (potential danga). Hili jibu nililipata baada ya kudadisi maana ya neno husika mara baada ya kusikia akimsifia mwenzake, nanukuu "Shosti leo umedamshi, ....... hachomoki leo, lazima umle kichwa." mwisho wa kunukuu.
na kuna kaleKudamshi
Jomoni
Kwemaa
Halohalooo
Nahukuuuu
Maneno haya yananyong'onyesha sana
My (especially kwa me mwenzako)Kudamshi
Jomoni
Kwemaa
Halohalooo
Nahukuuuu
Maneno haya yananyong'onyesha sana