kupitia rejea ya moja ya wafanyakazi wenzangu wa jinsia "ke" neno damshi maana yake ni kupendeza kwa (mdangaji) kwa lengo la kumpa matamanio kingono anayekutazama (potential danga). Hili jibu nililipata baada ya kudadisi maana ya neno husika mara baada ya kusikia akimsifia mwenzake, nanukuu "Shosti leo umedamshi, ....... hachomoki leo, lazima umle kichwa." mwisho wa kunukuu.