Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ndio ulikuwa mnunuzi.Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Ukiitwa mbele utoe ushahidi wa jambo lako, je ushahidi utakua nao kijana fuso?Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Kufungwa afungwe KMC, Kiwewe na mateso wapate Makolo.Anafungwa hata hasikitiki.
Kilichobaki ni kutapatapa hakuna kingine..[emoji16]Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Ile timu pamoja na kuwa ya taasisi inaendeshwa kienyeji Sana, kocha mkuu hayupo pia mbali ya kuwa kocha mkuu ni meneja wa uwanja wa jamhuri morogoro sijui anafanyaje hizi kazi kwa pamoja, kocha msaidizi pia hayupo yupo kwenye mitihani badala yake kocha wa vijana ndio anasimamia timu
Msemaji wao ametaja tu anafanya mitihani ila hakufafanuaMkuu rodrick alexander umetaja kocha Msaidizi anafanya Mtihani, Je ni mtihani wa leseni za CAF au ni mtihani gani?
Ahsante