Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kauza goli la moko au yote? Makolokolo bana.Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...