Kipa kwa KMC kauza mechi

Kipa kwa KMC kauza mechi

Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.

Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Kauza goli la moko au yote? Makolokolo bana.
 
Wabongo waaweza kukuangushia jumba bovu hadi ushangae.
Kuna kipindi Kaseja alishawahi kusingiziwa kuuza mechi hadi alijuta
 
Magoli gani haya - si vizuri wewe Shikalo kuwaumiza wenzako.

Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.

Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
MANURA aliuza mechi kw MAUYA na MAYELE.
 
Kama ulimfwatilia msimu ulopita huyu kipa hata hakuna cha kushangaa.

Maana ni kipa ambaye anafungwa sana magoli ya mbali hasahasa mashuti huwa anajisahau sana.
 
Back
Top Bottom