Online product🤣🤣🤣🤣As reported View attachment 2702989
Hizi habari zinaweza kuwa na ukweli. Zimechezwa mechi 2 hajadaka. Ngoja tuone ya leo. Saa 12 sio mbaliOnline product🤣🤣🤣🤣
Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!But mi nahisi hilo la majeraha yaweza kua ni kupoza tu mashabiki ila tatizo laweza kua TFF imegoma kumuingiza kwenye mfumo wa usajili kwa kutokukidhi vigezo.
Kipindi cha leo cha Sports Am cha azam nao wameliongelea hilo
Waliomsajili, TFF wana kosa gani hapo? Unawezaje kuwa kiongozi wa taasisi ambayo hujui kanuni zinazoendesha tasnia iliyomo taasisiSasa hapo lawama ni kwa TFF au waliohusika kumsajili hawakufanya majukum yao vizuri
Scouting yenu si ya kuteka watu Airport?Vuneni mlichopanda🤣🤣🤣Hizi habari zinaweza kuwa na ukweli. Zimechezwa mechi 2 hajadaka. Ngoja tuone ya leo. Saa 12 sio mbali
Naona leo umechafukwa kama Mo!Waliomsajili, TFF wana kosa gani hapo? Unawezaje kuwa kiongozi wa taasisi ambayo hujui kanuni zinazoendesha tasnia iliyomo taasisi
Nafikiri lilikuwa pendekezo la kocha Robertinho, kwa maana napata shida kuwalaumu viongozi wa simba kwakuwa sidhani kama walishamuona popote, isipokuwa wanatakiwa walaumiwe kwa kuruhusu scout kuingiliwa majukumu yake, suala la vigezo vya uyo kipa kutokidhi na bado uongozi ukaruhusu asaini mkataba alafu baadae unakuja kusema ni injury ni aibu ya karne!Waliomsajili, TFF wana kosa gani hapo? Unawezaje kuwa kiongozi wa taasisi ambayo hujui kanuni zinazoendesha tasnia iliyomo taasisi
Nakubaliana na wewe [emoji817]. Na hili si kwenye soka tu. Taifa linaloendekeza Uchawa na kujuana haliwezi kutengeneza viongozi thabiti katika Nyanja yoyote.Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!
Kwani alitekwa?Nani alaumiwe kwa hili,waliomteka airport, au waliofanya scout???