Kipa mpya wa simba ni majeruhi

Kipa mpya wa simba ni majeruhi

GK3087

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
249
Reaction score
258
As reported
Screenshot_2023-07-30-14-02-18-14_a23b203fd3aafc6dcb84e438dda678b6.jpg
 
But mi nahisi hilo la majeraha yaweza kua ni kupoza tu mashabiki ila tatizo laweza kua TFF imegoma kumuingiza kwenye mfumo wa usajili kwa kutokukidhi vigezo.

Kipindi cha leo cha Sports Am cha azam nao wameliongelea hilo
 
Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!
 
Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!
Sasa hapo lawama ni kwa TFF au waliohusika kumsajili hawakufanya majukum yao vizuri
 
Nahisi kwenye mazoezi ameonekana ni Kipa kimeo. Na kocha wa makipa amemkataa, hivyo ili isijulikane kuwa walisajili kimeo, wanataka kutudanganya kuwa alikuwa mgonjwa.

Hii nafasi ya kipa mpya, ongeeni na Singida Big stars ili Beno Kakolanya arudi, au endeleeni kuwatumia hawa waliopo hadi Manula atakapopona. Kisha Peter Banda abaki Msimbazi.
 
Waliomsajili, TFF wana kosa gani hapo? Unawezaje kuwa kiongozi wa taasisi ambayo hujui kanuni zinazoendesha tasnia iliyomo taasisi
Nafikiri lilikuwa pendekezo la kocha Robertinho, kwa maana napata shida kuwalaumu viongozi wa simba kwakuwa sidhani kama walishamuona popote, isipokuwa wanatakiwa walaumiwe kwa kuruhusu scout kuingiliwa majukumu yake, suala la vigezo vya uyo kipa kutokidhi na bado uongozi ukaruhusu asaini mkataba alafu baadae unakuja kusema ni injury ni aibu ya karne!
 
Huwezi kuwa na jamii iliyojaa watu wa hovyo halafu eti miongoni mwao ukapata viongozi makini, Never!!
Nakubaliana na wewe [emoji817]. Na hili si kwenye soka tu. Taifa linaloendekeza Uchawa na kujuana haliwezi kutengeneza viongozi thabiti katika Nyanja yoyote.
 
Aghh,,,!,namuna ngani sasa hii,nani kalisha Kipa wetu Kiveri?.
wakati inajulikana kabisa Kiveri inaharibu mascles!.
 
Back
Top Bottom