Kipa mpya wa Simba

Kipa mpya wa Simba

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
Screenshot 2024-08-02 114839.png
 
Nafasi 12 bado tu hazijatimia! KUtakuwa makipa wangapi?..na Au Manula ashapewa mkono wa khery?..
 
Back
Top Bottom