Huyu Kessy Ni Jipu Lililotukuka Na Sasa Baada Ya Yeye Kumwaga Mboga Sisi Mashabiki Tunamwaga UGALI Na Niombeeni Tu Nitaweka Kila Muamala Wake Aliotumiwa Na Viongozi Wa Upande Wa Pili.
Na kwa hili nalo bado tu unajifikiria?msimfanye yule bwana mdogo kuwa scapegoat.Matumaini yanazidi kupotea
Nusu ya wachezaji wa Toto ni vijana waliowatema ili wasajili akina Seunkuma wakati ule. Sasa wanavuna walichopanda.Na wachezaji waliokosa magoli zaidi ya manne nao majipu? Wamehongwa?
kuna mambo kadhaa kwa tuliokuweo mpirani yanahitaji utafiti wa kina sanaHakuna cha kutumiwa, mbona akina Awadhi Juma wamekosa magoli ya wazi lakini hamsemi!!!!
Wamatopeni level zenu ni dr mwaka ndondo cupKwa mtindo huu michezo ya kimataifa wasahau
Makosa yote anayofanya Kessy ni ya kimpira. Sidhani kama kuna influence yoyote ya maslahi binafsi au kutumiwa na upande wa pili.
Kwa wachambuzi makini katika mechi ngumu na zenye pressure, Kessy bado ni liability kwa Simba na anahitaji angalau misimu 2 kufikia ubora wake halisi wa kisoka. Ana kipaji kikubwa, moyo wa upambanaji, kasi, work rate nzuri na kutokata tamaa. Lakini mapungufu makubwa aliyonayo ni kiburi, kupaniki ovyo, hajifunzi haraka na pia hafanyi maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, mfano kupiga krosi au chenga kwa wakati sahihi.
Kama anamoyo wa kuendelea kuichezea Simba, anapaswa kupewa muda na kusaidiwa zaidi ili apevuke. Naamini Simba wakiwekeza kwake hawatajuta na taifa litamfaidi muda si mrefu. Ila kama na yeye analeta issue za kuzirazira bila kukubali makosa na kujifunza zaidi, asepe zake akatafute maisha atakako.
Viongoz wa timu kwa kuua soo wanamtoa kafara kijana wa watuEti oooooooh kuna miamala nitaweka hapa iliyokuwa inafanywa kati ya Viongozi wa Yanga na Hassan Kessy, ajabu hatuoni hiyo Miamala. Simba acheni kumtwika huyo dogo lawama, kuna yule Awadhi Juma yeye na kipa alishindwa kufunga mlitaka Kessy akamshike kichwa Awadhi ili mpira ulenge golini!!!!!!!! Tatizo la Simba kufanya vibaya sio la Kessy tafuteni chanzo cha hili tatizo, lakini si ajabu simba kufanya vibaya, mbona Barca inafanya vibaya lakini hatusikii lawama wakivishwa akina Dan Alves!!!!
Simba huu mchezo hauitaji hasiraaa
Amepigwa Na wachezaji wenzake, nadhani Kuna kitu wanakijua Tu.Mambo mengine niujinga tu kama kumpiga wampige na mayanja