Kipa wa Chivas Guadalajara afunga goli

Kipa wa Chivas Guadalajara afunga goli

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kipa wa Chivas Guadalajara Antonio Rodriguez afunga goli kutoka katika goli lake wakati timu yake ilipoibuka mshindi kwa magoli 3-1 dhidi ya klabu ya Veracruz katika ligi ya MX nchini Mexico.
 
uyo kipa wa timu pinzani alikwenda kukojoa chooni?
 
Back
Top Bottom