Kipa wa Fountain Gate alipaswa kuwa man of the match

Kipa wa Fountain Gate alipaswa kuwa man of the match

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
411
Reaction score
445
Daaaah nimesikitishwa na kitendo Cha mchezo wa Fountain Gate vs Simba.swala la man of The match kupewa rushine deluck sababu ikiwa kafunga goli la ushindi sio sawa kabisa hii sababu haina mashiko kabisa

Wakati kipa wa fountain gate KAPILA MACHUPA amefanya clear save 8+ yote hayo yalikuwa magoli what a performance lakini mpira wetu ndiyo hivyo Tena mtu akifunga ndiyo man of the match
 
Hapana. Nakataa.
Men of the match walipaswa wawe wale wazee wa kichawi waliokua uwanjani waliotumwa na utopwinyo mankoba fc...
 
Refa wa pembeni alikataa goli.hakukuwa na haja ya kuangalia video.
 
Hata Yanga na Mashujaa, nilitegemea mchezaji bora kutangazwa Azizi K. Cha kushangaza, anatangazwa Mzize! Kisa, kafunga goli!
 
Back
Top Bottom