Kipa wa Liverpool FC aliyetoa boko Fainali ya UEFA atishiwa maisha

Kipa wa Liverpool FC aliyetoa boko Fainali ya UEFA atishiwa maisha

Nilitaka kumsamehe kwa goli la kwanza, ila alchofanya kwenye goli la tatu hata ule msamaha wa goli la kwanza niliufuta palepale.
 
Yule golikipa ni wa kumuonea huruma sana,

Hakufanya makusudi na hakuna binadamu ambaye hajawahi kufanya kosa bali upande wa pili ndo wanatakiwa kulikabili suala hili kwa busara na hekima na naamini Klopp anavyo hivyo vitu.
 
Kwa wale waliobahatika kucheza mpira hasa eneo la Golikipa watakuwa wanajua Karius alichokifanya kinaweza kutokea kwa kipa yeyote yule.
 
Back
Top Bottom