Kipa wa Ndanda Ali Mustafa Barthez jana aliuza mechi

Jana alifungwa magoli matatu mepesi sana na kuinyima nafasi Ndanda ya kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Kwa mtindo huu soka letu la Tanzania bado lina safari ndefu sana!
Kwa hiyo shikalo naye aliuza mechi kwa kufungwa magoli mawili mepesi?!
 
Yanga ndio timu inayoongoza kwa kuhonga wachezaji na marefa yale magoli hasa la tatu sio goli la kufungwa kipa mzoefu hata goli la pili dhidi ya namungo ingawa mfungaji aliotea lakini kuna wasiwasi pia kipa alichukua pesa huyu kipa aliwahi kugombana na Amri Said wakati anadakia biashara na Amri Said akiwa kocha wake kwenye mechi na yanga kwa kufungisha makusudi
 
Kanywe mataputapu
 
Mwaka ule anafungwa na Kichuya magoli ya kizembe na nyie mlimuhonga? Labda ndio kamchezo kenu!
 
Tako moko fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…