Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jana alifungwa magoli matatu mepesi sana na kuinyima nafasi Ndanda ya kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Kwa mtindo huu soka letu la Tanzania bado lina safari ndefu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulitoa sh. ngapi?
tu,,,,!!!?Elufu inne mia tatu...
Kwa hiyo shikalo naye aliuza mechi kwa kufungwa magoli mawili mepesi?!Jana alifungwa magoli matatu mepesi sana na kuinyima nafasi Ndanda ya kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Kwa mtindo huu soka letu la Tanzania bado lina safari ndefu sana!
Kanywe mataputapuYanga ndio timu inayoongoza kwa kuhonga wachezaji na marefa yale magoli hasa la tatu sio goli la kufungwa kipa mzoefu hata goli la pili dhidi ya namungo ingawa mfungaji aliotea lakini kuna wasiwasi pia kipa alichukua pesa huyu kipa aliwahi kugombana na Amri Said wakati anadakia biashara na Amri Said akiwa kocha wake kwenye mechi na yanga kwa kufungisha makusudi
Tako moko fc.Yanga ndio timu inayoongoza kwa kuhonga wachezaji na marefa yale magoli hasa la tatu sio goli la kufungwa kipa mzoefu hata goli la pili dhidi ya namungo ingawa mfungaji aliotea lakini kuna wasiwasi pia kipa alichukua pesa huyu kipa aliwahi kugombana na Amri Said wakati anadakia biashara na Amri Said akiwa kocha wake kwenye mechi na yanga kwa kufungisha makusudi