Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana.
Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na Simba,ni mpira wa kipxmbavu na wa ovyo sana kwasababu imekuwa ikitugharibu mara nyingi.
Yaani kipa anachezeshwa mpaka unashindwa kutofautisha kati ya kipa na wachezaji wa kawaida...na kwa style ya mpira wa Simba Kipa anacheza sana kuliko wachezaji wote pale uwanjani..hii ni kumchosha kipa,kumtoa kwenye concentration ya lango lake kama kipa..ndio matokeo ya kujifunga kila siku.
Katika hili asilaumiwe kipa hata kidogo ..lawama ni kwa cocha na wachezaji wake.