Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

Waliandaa na keki halafu wakabanwa mbavu na JKT TANZANIA,keki ilichacha jana baada ya TANZANIA PRISONS kuchapwa na LADAKI CHASAMBI akitupia kamba
 
Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana

i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.

WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
 
Back
Top Bottom