Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Pamoja na kwamba sisi Yanga ndiyo machampioni,ila Camara anafanya makosa sana langoni
Inaweza kuwa ni jambo zuri au baya kwa upande mwingine, kama mchezaji akionesha kiwango cha juu inamaana utalazimika kupanda dau kubwa ili uingie nae mkataba mpya na la pili ni mchezaji mzuri kuondoka huru japokuwa ni luluInawezekana wewe ndio umeongea pwenti kuliko wote waliochangia hadi sasa.
Usiwastue😂😂😂Kipa ni mmoja tu DIARA hao wengine ni walinda lango.. [emoji1]
Kwamba ukisainisha mchezaji kwa mwaka mmoja unakuwa umekwepa gharama za kuvunja mkataba?Wachezaji wengi waliosajiliwa simba msimu huu 2024-2025 walisainishwa kwa mwaka mmoja mmoja.
Simba walikwepa sana kuingia Gharama za kuvunja mkataba kwa mchezaji.
Hii hoja yako inaweza ikawa inathibitisha kuhusu usajili wa Mpanzu katika Timu ya Yanga.Wachezaji wengi waliosajiliwa simba msimu huu 2024-2025 walisainishwa kwa mwaka mmoja mmoja.
Simba walikwepa sana kuingia Gharama za kuvunja mkataba kwa mchezaji.
Saizi simba wana uhuru wa kumuongezea mkataba mchezaji ama kumuacha.
Duka kivipiAzam washindwe wao
Shida ya Camara duka sana
Hizo ndio akili za mashabiki wa mbumbumbu aka Empty FCKwamba ukisainisha mchezaji kwa mwaka mmoja unakuwa umekwepa gharama za kuvunja mkataba?
mpanzu ameisha saini yanga mwezi mmoja uliopitaHii hoja yako inaweza ikawa inathibitisha kuhusu usajili wa Mpanzu katika Timu ya Yanga.