kipa wa simba PIN PIN CAMARA ni free agent, simba wameachana nae

Wachezaji wengi waliosajiliwa simba msimu huu 2024-2025 walisainishwa kwa mwaka mmoja mmoja.

Simba walikwepa sana kuingia Gharama za kuvunja mkataba kwa mchezaji.

Saizi simba wana uhuru wa kumuongezea mkataba mchezaji ama kumuacha.
Hii hoja yako inaweza ikawa inathibitisha kuhusu usajili wa Mpanzu katika Timu ya Yanga.
 
Camara ni kipa mzuri sana hilo halina ubishi. Shida ya Camara ni kutotabirika. Pale unaposema goli yeye anafuta na pale kila mtu ametulia anajua hamna madhara unashangaa nyavu zinazcheza nyuma yake tayari kashafungwa. Kila nikimuangalia Camara kwa umakini naona kabisa akili yake haijatulia mpaka nahisi kama aliwahi kutumia kitu cha Arusha au bado atakuwa anatumia kwa siri maana kuna mambo huwa anafanya wakati mchezo unaendelea mpaka unabaki inashangaa. Kwa hiyo Simba kama wamepata kipa mzuri zaidi waachane naye lakini kama hawajapata kipa mzuri basi hakuna jinsi waendelee naye hivyo hivyo kimtindo lakini wamtafutie hata kipa mbongo wakumpa changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…