Zipo wapi hizo jumbe tuzipitie hapa, au mtoa mada umeingizwa mjini na wanaigeria?Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini wanamtumia ujumbe wa vitisho wakisema asirudi tena Afrika Kusini ndani ya klabu yake ya Chippa United Kwa sababu watamfanya kitu kibaya.
Namuunga mkonoHao wa Zulu si watu wenye akiil timamu, jambo hili lisipuuzwe
Achukulie hili jambo kwa umakini sana.Namuunga mkono
Wazuru kama wa-Colombia kupigana chuma kwao kawaida
Angalia vifo vya wasanii hivi karibuni utaelewa
Awe makini
SanaAchukulie hili jambo kwa umakini sana.
nashauri asirudi kwasababu wasouth ni viumbe wajinga mno, wanaweza kumuua kweli, wale mzungu alitakiwa aendelee tu kuwatawala milele. ndezi kabisa wale.Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast.
Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini wanamtumia ujumbe wa vitisho wakisema asirudi tena Afrika Kusini ndani ya klabu yake ya Chippa United Kwa sababu watamfanya kitu kibaya.
Nini maoni yako?
Point ya msingi sana. Hapa ni maokoto tu yamevurugwa. Wasouth, tena hasa mashabiki wa Mamelodi hata viwanjani kwenyewe hawaendi mpaka wabembelezwe, hawamtishi kwa hisia za kimpiraWengine wana mikeka yao imechanika,sio uzalendo peke yake