Kipa wa Yanga Msheri afunga ndoa,wachezaji wenzake wamsusia

Kipa wa Yanga Msheri afunga ndoa,wachezaji wenzake wamsusia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mlichonfanyia mwenzenu sio powa,

Nusu ya wachezaji hawajaonekana harusini
Nilimuina Sheikh wa timu injinia na wachezaji kama kumi hivi

Mbona wewo
 
Mlichonfanyia mwenzenu sio powa,

Nusu ya wachezaji hawajaonekana harusini
Nilimuina Sheikh wa timu injinia na wachezaji kama kumi hivi

Mbona wewo
Video iliyopo mtandaoni ina dakika moja tu na imewaonyesha zaidi ya wachezaji 12.
Hukumu yako imeegemea kwenye hiyo video au ulihudhuria?
 
Attachments

  • 20250226_174748.jpg
    20250226_174748.jpg
    115.5 KB · Views: 2
Baada ya Yanga kushtukia kuwa huu ni msimu wa ubaya ubwela wamekuja na kiki za harusi kutupoteza maboya. Galacticos wanaoishia hatua ya makundi.
 
Video iliyopo mtandaoni ina dakika moja tu na imewaonyesha zaidi ya wachezaji 12.
Hukumu yako imeegemea kwenye hiyo video au ulihudhuria?
uzi ufungwe hapa, jamaa kaongea kinafiq mnooo
 
Hivi umeona kweli Hilo tukio mkuu? Mbona wenzake walikuwepo wengi au maana yako ni sherehe haikuwa na mbwembwe kama za Akina Aziz??
 
Baada ya Yanga kushtukia kuwa huu ni msimu wa ubaya ubwela wamekuja na kiki za harusi kutupoteza maboya. Galacticos wanaoishia hatua ya makundi.
Duh, kwa hiyo siyo GSM tena anaharibu ligi ni UBAYA UBWELA? Na Mangungu pia abaki sio?
 
Unakurupuka tu kutoa uzi haujafanya utafiti wa jutosha unapika tu majungu...mtoto wa kiuke ukipakatwa utamlaumu nani
Video iliyopo mtandaoni ina dakika moja tu na imewaonyesha zaidi ya wachezaji 12.
Hukumu yako imeegemea kwenye hiyo video au ulihudhuria?
Unakurupuka tu kutoa uzi haujafanya utafiti wa kutosha unapika tu majungu kuchafua watu...hata kama unachuki binafsi na watu lakni sio kwa njia hii....mtoto wa kiume ukipakatwa utamlaumu nani?!...mtoto wa kiume mzima unapenda kiki za kiboya kama juma lokole ukiambiwa shoga utasema umetukanwa?!
 
Back
Top Bottom