Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo nyimbo itakuwa bora kabisa endapo itatotelewa mwaka huu au ujao...hebu iangalie halafu utoe maneno yako bila unafki wala ushabiki...mi naanza kusema hili litakuwa BONGE LA HIT ....


My take....

Kwa mwendo huu msiseme mnaonewa kwenye tuzo za

ili na nyinginezo
 
Last edited by a moderator:
Una utani na wana jf? We uko timamu kweli?
 
nia yako niudownload kuongeza idadi
ngastuka!!
 
asee hii video yake lacation itakuwa scotland maana tokea aanze kwenda south africa hadi kina linah wanaenda sahizi kwa kuwa wote wanamuangalia yeye
 
Hivi kwanini tusiamini Diamond huvujisha mwenyewe nyimbo zake?
Nani huzivujisha?
Nani huziifadhi?
Zina vujishwa na Wema?
Zina vujishwa na Romy?
Diamond ni msanii careless kuliko wote?

Kwanini yeye kila Leo?
Kwanini kila anapo taka kutoa wimbo mambo kama haya hutangulia? Kwanini kila siku hutumia style hiyo hiyo kutafuta tention ya nyimbo zake?

Kuna wimbo wake alisema ulivuja akiwa kwa producer Fulani kama sijakosea ni Maneck!na producer alipoulizwa alicheka sana akasema kwanini ni yeye tuu nyimbo zake ndio zina vuja? Mwisho alisema ngoja tuone...... ukweli utajulika .

Kweli nimeamini muda huongea ...katika hii nina uhakika kabisa Diamond na timu yake huvujisha nyimbo makusudi kupima upepo na kutafuta tention!

Diamond ni msanii mzuri haitaji kuendelea na hizi tabia za kutafuta kick ndio atoe wimbo!
 

Hahahaha Leo nimejua wewe ni nani kila siku nilikuwa najiuliza! Leo uandishi wako umejidhihirisha kabisa!
 
Last edited by a moderator:

we kaka unajenga hoja vizuri sana
anafnya kusudi kupima upepo km mbaya anarudi tena ni dalili za kutojiamini hizo zote
mbona wasanii wengine wanatoa moja kwa moja na zinakubalika tu
 
Na lazima utauview, ata kama upendi.

mi siku hizi sio mpenzi wa bongo fleva wangu yaani nyimbo za siku hizi ht chorus kuimba nyingi zinanishinda na tv wahindi wananipoteza sana mi star plus,star gold na bbc au aljazeera
kwenye simu bongo fleva za zamani kuanzia 2007 kushuka chini hapa nipo tu kishabiki baas na jamii forum ndo napoteza mawazo ht kwenye pc na cd zangu ni nyimbo za longii tu eatv morning wanawekaga masong ya kizungu ya enzi hizo km za kina mary j nk mara nyingi so wakimaliza nahama
 
nia yako niudownload kuongeza idadi
ngastuka!!

Hahahaaaaa uwiiiii hujawahi kunichekesha hivi geniveros....mimi pia nilikua sijashtuka lakini wala sijahangaika kuucheki....
 
Last edited by a moderator:

Mhhhhh I cant believe this my dear...hata mwana haipo jamani???
🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…