Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu kuusikiliza huu wimbo ni mzuri lakini bila shaka una hitaji maboresho ili kuvuta zaidi hisia kwa jinsi ulivyo vile hauvutii! Lakini nina uhakika utafanyiwa maboresho!
Kwa sababu umeongea wewe mtaalamu, me nakubali....natamani dogo ayafanyie kazi haya mawazo yako...
Teaser ya wimbo wa msanii kinara katika muziki wa Bongo "Dimond platnumz" imevunja rekodi ya kupakuliwa katika mitandao mara nyingi zaidi, kipande hicho ni cha sekunde 21 kinachoonyesha kuwa hiyo nyimbo itakuwa bora kabisa endapo itatotelewa mwaka huu au ujao...hebu iangalie halafu utoe maneno yako bila unafki wala ushabiki...mi naanza kusema hili litakuwa BONGE LA HIT ....
My take....
Kwa mwendo huu msiseme mnaonewa kwenye tuzo za
ili na nyinginezo
mi siku hizi sio mpenzi wa bongo fleva wangu yaani nyimbo za siku hizi ht chorus kuimba nyingi zinanishinda na tv wahindi wananipoteza sana mi star plus,star gold na bbc au aljazeera
kwenye simu bongo fleva za zamani kuanzia 2007 kushuka chini hapa nipo tu kishabiki baas na jamii forum ndo napoteza mawazo ht kwenye pc na cd zangu ni nyimbo za longii tu eatv morning wanawekaga masong ya kizungu ya enzi hizo km za kina mary j nk mara nyingi so wakimaliza nahama
Huu wimbo ni mzuri lakini hiyo beat haijanivutia kabisa! Na uhakika utabadilishwa melody na beat lakini mistari nimeipenda!
Huyu jamaa nyimbo zake zote ni baada ya wema kumzingua embu zisikilizen alafu mrejee matukio mtaelewa
hahah hamna bana
Bila shaka mtoa mada unasumbuliwa na ugonjwa maarufu wa TEZI DUME,pole.
nani kasema huu wimbo umevuja???...ameupos mwenyewe katika account yake ya instagram...tusiwe tunakurupuka kama cha asubuhi
Wala usikatae nae kama Jide tu.