Kipande cha wimbo mpya wa Dimond platnumz chavunja rekodi

Mkuu mbona unaongea kama mtu wa karibu wa diamond? Ukifeli najua story mtayo kuja nayo ndiyo ninayo iongelea! Muda huongea! Kwani wewe ni kifesi? Samahani lakini

haha mkuu mi sio kifesi wala hata simjui
 
Nimejaribu kuusikiliza huu wimbo ni mzuri lakini bila shaka una hitaji maboresho ili kuvuta zaidi hisia kwa jinsi ulivyo vile hauvutii! Lakini nina uhakika utafanyiwa maboresho!

Kwa sababu umeongea wewe mtaalamu, me nakubali....natamani dogo ayafanyie kazi haya mawazo yako...
 
Kwa sababu umeongea wewe mtaalamu, me nakubali....natamani dogo ayafanyie kazi haya mawazo yako...

Huu wimbo ni mzuri lakini hiyo beat haijanivutia kabisa! Na uhakika utabadilishwa melody na beat lakini mistari nimeipenda!
 
Nia yenu tuongeze idadi ya views.....haya mmeshafanikiwa kwa hilo.....tunasubiri headline nyingine!
 
Haya lakini labda kwako
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa nyimbo zake zote ni baada ya wema kumzingua embu zisikilizen alafu mrejee matukio mtaelewa
 
Kwa kweli, kitu cha Ndomo hicho........ yuko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 

Umri umesogea ukiona hivyo....Mimi napenda muziki wa zamani wa kina Mjb ila ata wa sasa nauelewa kwa baadhi yao...Muziki aliyeuharibu ni Lil John
 
Huu wimbo ni mzuri lakini hiyo beat haijanivutia kabisa! Na uhakika utabadilishwa melody na beat lakini mistari nimeipenda!

Beat nzuri sana hiyo, utaielewa ukiisikia vizuri.

Kuhusu mistari Diamond ndio msanii wa bongofleva anayejua kuandika vizuri sana. Ana kina kati na mwisho, inahitaji kichwa kuandika vile.
 
nani kasema huu wimbo umevuja???...ameupos mwenyewe katika account yake ya instagram...tusiwe tunakurupuka kama cha asubuhi

Alafu kuna njia nyingi za kufanya promotion ili vitu vyako viuzike so yeye katumia iyo njia ya kutoa kipande iko kidogo anafanya biashara so promotion muimu ili bidhaa ziuzike ayupo kwenye music industry kuuza nyago its bussnes guyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…